Sisi tuliita Msuli pepa/zima moto. Nyie hii mliitaje?
Si tuliita msuli maonyesho....maana huwezi kusoma na kuelewa madesa yote hayo kwa wakat mmoja, ila unajionyesha akipita baba/mama/rafiki anakuona unasongoka kinoma yani.
Ndiyo zima moto hiyo.kuna mshkaji alikuwa ana mazari noma, akikuomba umuelekze kitu before kuzama kwenye most of the time unakikuta