Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,663 Dec 3, 2011 #1 Hili goma lilikuwa ni kali lilipendwa sana kanda ya ziwa na kwingineko nilisikia kuna tajili mmoja wa Kenya aliwatafuta waimbaji wote waliopo hai na kuimba nyimbo zote upya na kuziweka on video hapo ukiwatizama wanaonekana ni wazee wazee Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hili goma lilikuwa ni kali lilipendwa sana kanda ya ziwa na kwingineko nilisikia kuna tajili mmoja wa Kenya aliwatafuta waimbaji wote waliopo hai na kuimba nyimbo zote upya na kuziweka on video hapo ukiwatizama wanaonekana ni wazee wazee
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,663 Dec 3, 2011 Thread starter #2 Huu nadhani ulikuwa the best all the time till now tatizo haupo kwenye good record au Radio Tanzania wanaweza kuwa na good record coz huu wimbo ulikuwa unaombwa upigwe redion wa watuma salamu pia wagonjwa kwenye mahospital katika kipindi cha pole mgonjwa Kwaya ya Arusha Mjini Ulipenda hata na wale wa Dini ya Kiislam waliuomba kweli una mafundisho mazuri si Utani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Huu nadhani ulikuwa the best all the time till now tatizo haupo kwenye good record au Radio Tanzania wanaweza kuwa na good record coz huu wimbo ulikuwa unaombwa upigwe redion wa watuma salamu pia wagonjwa kwenye mahospital katika kipindi cha pole mgonjwa Kwaya ya Arusha Mjini Ulipenda hata na wale wa Dini ya Kiislam waliuomba kweli una mafundisho mazuri si Utani
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,663 Dec 3, 2011 Thread starter #3 lulu iko Mbinguni hii nayo ilipendwa sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,663 Dec 3, 2011 Thread starter #4 Munisi nae hakubaki nyuma na vinyombo vyake rap cartoon Ile ya Ndege kulia usiku nayo ilikuwa kali Last edited by a moderator: Jan 4, 2016