NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,974
- 1,210
Mbona maghorofa mengi bado yanatumia7. Concrete (slab) roof
Frem za mbao ni nzuri kuliko za chuma, mbao ni gharama kubwa kuliko vioomadirisha yenye frame za mbao
Hakuna nyumba ya kisasa ambayo inatumia frame za mbao kwanza hata upatikanaji wa mbao nzuri na imara ni wa shida, mbao za sasa nyingi ni za mashambani.Frem za mbao ni nzuri kuliko za chuma , mbao ni gharama kubwa kuliko vioo
Nilikuwa namaanisha kwenye nyumba ambazo si ghorofa za kawaidaMbona maghorofa mengi bado yanatumia
Kwa nini hii inapotea? Watu watanawia mikono wapi kabla ya kula?Kuweka kasink ka kunawia mikono dinning naona nayo inaanza kupotea taratibuu
Siku hizi umma, visu na vijiko vinachukua nafasi ya maji ya kunawa mikono. Uzungu uzunguni!!Kwa nini hii inapotea ? Watu watanawia mikono wapi kabla ya kula ?
Kwani ukitumia umma au kijiko hautakiwi kunawa mikono, hao sio wazungu ila ni washamba tu, sink au sehemu ya kunawia ni kitu muhimu sana kuwa karibu na dining room.Siku hizi uma, visu na vijiko vinachukua nafasi ya maji ya kunawa mikono. Uzungu uzunguni!!
Paa refu ndio ime hit sasa hivi. Na hii Ma engineer wanakwambia Ni French style. Paa pa Mlalao ni British style ya kizamaniKuna vitu ambavyo zaman kidogo vilikuwa vinafanyika katika ujenzi na sasa hivi vimeonekana ni vya kizaman na wengi hawavinyi tena mfano
1. Kidirisha kidogo kutoka jikoni kwenda Dinning cha kupitishia chakula
2. Kupiga Chupping
3. Garage kujengwa pamoja na nyumba, zaman ilikuwa kawaida mtu akijenga, raman yake lazima aweke na sehemu ya kulifungia gari ila siku hizi hata wanaojenga nyumba kubwa za kifahari hawaweki garage.
4. Dali za mbao
5. Kutumia Flat bar kwenye Grills za madirisha..siku hizi wengi wanatumia square pipe dirisha zima au round pipe.
5. Mapaa yaliyorefuka sana yanapendwa ila naona kama nayo yanaanza kukosa mvuto
6. Mikanda ya maua maua kuzunguka dali za gypsum na lile ua la katikati
7.
8.
9.
Utakula mapera kwa kijiko na umma?Siku hizi uma, visu na vijiko vinachukua nafasi ya maji ya kunawa mikono. Uzungu uzunguni!!
Watu wananawia wapiKuweka kasink ka kunawia mikono dinning naona nayo inaanza kupotea taratibuu