Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,121
Weka TUNASONGA BY KIKOSI CHA MIZINGA
daaa kweli mkuu vichwa vya rnb vya wakati huoMR PAUL
aliyetengeneza hili biti ni nani? lina kitu ambacho watengeneza biti wengine hawakiwezi
nahisi waliitengenezea mbelealiyetengeneza hili biti ni nani? lina kitu ambacho watengeneza biti wengine hawakiwezi
Kitu cha Regina..
kitambo sana hata sijui wapo wap Mkuuwalipotelea wapi hawa
ila producer wao mkubwa alikuwaga bon luvaliyetengeneza hili biti ni nani? lina kitu ambacho watengeneza biti wengine hawakiwezi