Syosaamenye
Member
- Jun 7, 2012
- 79
- 7
Wadau eti zile nafasi za security officer Tanesco Power Plant Ubungo zilizotangazwa December wametoa kwenye gazeti gani? mwenye shortlisted naomba aweke majina ya walioitwa kuna baadhi ya watu wameanza kupigiwa simu.
Na watu wakaitwa katika apptitude Ubungo
Walipigiwa tarehe 1 mwez uliopita man mie lkn nilitoswaa
pambana mkuu. vipi wameanza na kazi?
Na zile za research engineers vp wadau.
Kuna alieitwa tayari, mwenye kujua atujuze.
Nina taarifa za watu wa substation, grid control na project engineers.
Kiwango security wametangaza kazi za ulinzi 40 so usikariri tanesco tu! Jaribu huko
kuna tofauti kati ya security guard na security officer