Wanasimba wenzangu nguvu moja. Hivi zile bilioni 20 zimewekwa account ipi ya club? Kwanini zisitumike kusajili wachezaji wazuri kama yanga walivyofanya? Kuna nini mpaka babra apewe uCEO? Kuna kitu kimejificha hapa. Uongozi wajiuzuru watuachie timu yetu
Bilioni 20 ni 49%. Kwanini huulizi 51% iko wapi?Wanasimba wenzangu nguvu moja. Hivi zile bilioni 20 zimewekwa account ipi ya club? Kwanini zisitumike kusajili wachezaji wazuri kama yanga walivyofanya? Kuna nini mpaka babra apewe uCEO? Kuna kitu kimejificha hapa. Uongozi wajiuzuru watuachie timu yetu
Wakuachie na nani kima wewe! Mtu unaishi kwa shemeji yako halafu uachiwe timu nyambafWanasimba wenzangu nguvu moja. Hivi zile bilioni 20 zimewekwa account ipi ya club? Kwanini zisitumike kusajili wachezaji wazuri kama yanga walivyofanya? Kuna nini mpaka babra apewe uCEO? Kuna kitu kimejificha hapa. Uongozi wajiuzuru watuachie timu yetu
Hivi wewe kima unajielewa kweli? Uliambiwa ile 20B inanunua bonds BOT halafu kinachopatikana kutokana na bonds ndio kinatumika simba, ile kambi misri ulilipia wewe?Wanasimba wenzangu nguvu moja. Hivi zile bilioni 20 zimewekwa account ipi ya club? Kwanini zisitumike kusajili wachezaji wazuri kama yanga walivyofanya? Kuna nini mpaka babra apewe uCEO? Kuna kitu kimejificha hapa. Uongozi wajiuzuru watuachie timu yetu
BOT hii hii au nyingineHivi wewe kima unajielewa kweli? Uliambiwa ile 20B inanunua bonds BOT halafu kinachopatikana kutokana na bonds ndio kinatumika simba, ile kambi misri ulilipia wewe?
Tuambiwe ukweli tofauti na hapo mo atuachie timu yetuHivi wewe kima unajielewa kweli? Uliambiwa ile 20B inanunua bonds BOT halafu kinachopatikana kutokana na bonds ndio kinatumika simba, ile kambi misri ulilipia wewe?
Alijua BOT ni mbinguni watu waliohai hawafiki.BOT hii hii au nyingine
Timu yako we na nani?Tuambiwe ukweli tofauti na hapo mo atuachie timu yetu
Hii hii?BOT hii hii au nyingine