Ziko wapi nyakati ndugu zangu?

thanks again and have you

JF-Expert Member
May 11, 2023
230
423
Ziko wapi nyakati? Wakati ambao Mwanamke hatembei nusu uchi na bado Wanaume wangejipiga vikumbo kuwa nae, kajistiri kila sehemu lakini haiba na urembo wake unaonekana dhahiri.

Zipo wapi nyakati? Wakati ambao hakuna internet na Fasihi simulizi kutoka kwa Wakongwe kwenda kwa Watoto, wanarithi maadili bila ukatili lakini sasa mtoto maadili anajifunza WhatsApp na Twitter.

Zipo wapi nyakati? Wakati ambao Mtoto wako ni mtoto wa Jamii, lakini sasa mtoto wako ni wako! Wajomba sio salama tena, nyumba za ibada zina stori ngumu na wazazi wamebanwa na majukumu.

Zipo wapi nyakati? Wakati ambao Mwanamke cha kwanza Mungu na pili upendo, tupo nyakati za sasa ambazo watu wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa, mapenzi yamekuwa fashion na ndoa imekuwa mapambo twende ukumbini turuke kwaito na vakesheni ughaibuni.

Zipo wapi nyakati? Kipindi ambacho hakuna simu zaidi ya Mume na Mke kuwa busy na mapenzi yao, tupo dunia ambayo Umeme una umuhimu kuliko Mume kurejea nyumbani, tupo dunia ambayo charger ya simu ni bora kuliko Quraan.

Zipo wapi nyakati? Kipindi ambacho Ndugu wa tumbo moja ni damu moja kuliko sasa udugu wa maboga kukutana kwenye sufuria? Marafiki wamegeuka ndugu na ndugu ni Maadui, zipo wapi zile nyakati?

Zipo wapi nyakati nauliza? Malaika arudishe tena muda nyuma kipindi ambacho kutembea kwa miguu sio dalili ya ufukara, pesa sio kipimo cha busara na umaarufu sio tiketi ya uasi, zipo wapi nyakati.

Zipo wapi nyakati? Kipindi ambacho Vijana wamepikika kimaadili kuliko wa sasa wa madili, tumeingia GESTI mara nyingi kuliko nyumba za ibada, tumeshika tupu mara nyingi kuliko vitabu vya diin, zipo wapo nyakati?

Zipo wapi nyakati? Take me to Zanzibar ama vacation Dubai zinauza utu wao, wengine wanalia kwenye Range Rover hawataki furaha ya baiskeli, wengine wamepoteza ushindi ili waonwe washindi, Mwanamke anataka kuwa Mwanaume na Mwanaume anataka kuwa Mwanamke.

Zipo wapi nyakati? Sizitaki nyakati hizi,
Please take us back to where we belong
 
Zipo wapi nyakati wakati hakuna internet, wala Forums na Smart phones?
 
Zipo wapi nyakati? Take me to Zanzibar ama vacation Dubai zinauza utu wao, wengine wanalia kwenye Range Rover hawataki furaha ya baiskeli, wengine wamepoteza ushindi ili waonwe washindi, Mwanamk kuwa Mwanaume na Mwanaume anataka kuwa Mwanamke.

Zipo wapi nyakati? Sizitaki nyakati hizi,
Please take us back to where we belong
emoji419.png

Ziko wapi nyakati? Wakati ambao Mwanamke hatembei nusu uchi na bado Wanaume wangejipiga vikumbo kuwa nae, kajistiri kila sehemu lakini haiba na urembo wake unaonekana dhahiri.

Zipo wapi nyakati? Wakati ambao hakuna internet na Fasihi simulizi kutoka kwa Wakongwe kwenda kwa Watoto, wanarithi maadili bila ukatili lakini sasa mtoto maadili anajifunza WhatsApp na Twitter.

Zipo wapi nyakati? Wakati ambao Mtoto wako ni mtoto wa Jamii, lakini sasa mtoto wako ni wako! Wajomba sio salama tena, nyumba za ibada zina stori ngumu na wazazi wamebanwa na majukumu.

Zipo wapi nyakati? Wakati ambao Mwanamke cha kwanza Mungu na pili upendo, tupo nyakati za sasa ambazo watu wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa, mapenzi yamekuwa fashion na ndoa imekuwa mapambo twende ukumbini turuke kwaito na vakesheni ughaibuni.

Zipo wapi nyakati? Kipindi ambacho hakuna simu zaidi ya Mume na Mke kuwa busy na mapenzi yao, tupo dunia ambayo Umeme una umuhimu kuliko Mume kurejea nyumbani, tupo dunia ambayo charger ya simu ni bora kuliko Quraan.

Zipo wapi nyakati? Kipindi ambacho Ndugu wa tumbo moja ni damu moja kuliko sasa udugu wa maboga kukutana kwenye sufuria? Marafiki wamegeuka ndugu na ndugu ni Maadui, zipo wapi zile nyakati?

Zipo wapi nyakati nauliza? Malaika arudishe tena muda nyuma kipindi ambacho kutembea kwa miguu sio dalili ya ufukara, pesa sio kipimo cha busara na umaarufu sio tiketi ya uasi, zipo wapi nyakati.

Zipo wapi nyakati? Kipindi ambacho Vijana wamepikika kimaadili kuliko wa sasa wa madili, tumeingia GESTI mara nyingi kuliko nyumba za ibada, tumeshika tupu mara nyingi kuliko vitabu vya diin, zipo wapo nyakati?

Zipo wapi nyakati? Take me to Zanzibar ama vacation Dubai zinauza utu wao, wengine wanalia kwenye Range Rover hawataki furaha ya baiskeli, wengine wamepoteza ushindi ili waonwe washindi, Mwanamke anataka kuwa Mwanaume na Mwanaume anataka kuwa Mwanamke.

Zipo wapi nyakati? Sizitaki nyakati hizi,
Please take us back to where we belong
Nimependa hapo kwenye hiyo nyekundu
 
Back
Top Bottom