Hata leo hii serikali nyingi ikiwemo ya tanzanika inaendeshwa na kodi za walevi, hata Urusi kwenye kampeni za kuwania urais ni lazima uweke wazi msimamo wako kuhusu vodka kwamba
1:utajitahidi kupunguza being
2:kuweka chumba maalum kwenye maofisi chenye mizinga ya vodka kwa ajili ya kukata kiu
3: utaboresha utengenezaji wake kwa maana ya kuongeza makali
4:kwamba mtu akithibitika alifanya kosa fulani wakati akiwa katoa lock sheria imlinde nk nk