Zijue tofauti kati ya CCM na CHADEMA

Zijue tofauti kati ya CCM na CHADEMA

MJENGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
883
Reaction score
852
Zifuatazo ni tofauti kati ya CCM na CHADEMA.
1. Kuchukua hatua dhidi ya viongozi wake wanaotuhumiwa na ufisadi na kushindwa kiutendaji:. CCM imeshuhudiwa ikiwabadilisha Yusuph Makamba, Wilson Mukama baada ya kushindwa kwenda na kasi. Pia serikali ya CCM imekuwa ikichukua hatua dhidi watendaji wake wanaotuhumiwa kwa ufisadi mfano Lowassa, mawaziri kadhaa na watendaji wengine. Mtakumbuka sakata la Dr. Nchimbi, Kagasheki na wengine walipowajibika kwa makosa ya wengine. Hii ni tofauti kwa chadema ambapo pamoja na viongozi wake wakuu kama Mbowe na Dr. Slaa kutuhumiwa kwa ufisadi bado wameendelea kupeta. Aidha Wilfred Lwakatare hajachukuliwa hatua had I sasa mbali na ushahidi Wa video kuwa alishiriki kupanga ugaidi. Kada Wa chadema Ben Saanane anadunda tu mbali na kutuhumiwa kutoka kumuua Zitto kwa kutumia simu.

2. Uchaguzi Wa kidemokrasia: CCM Yangu kuanza kwake upon utaratibu Wa kubadilisha safu ya uongozi na has a ngazi ya taifa. Kwa chadema ni ndoto. Yangu na Yangu ni Mbowe tu!

3. Kujiimarisha kimiundombinu; CCM kinatumia ruzuku take kuwalipa mishahara mizuri viongozi wake, kujengea na kukarabati ofisi za chama ngazi zote na pia kununulia vyombo vya usafiri makatibu wake walau Wa wilaya na mkoa. Hii ni tofauti na CHADEMA ambapo ruzuku inatumika kujenga nyumbani na makasiri ya Mbowe huko Dubai, Afrika kusini na Marekani. Huwezi amino chadema hakuna hata ofisi take moja ya kujenga yenyewe, pale ufipa ni jengo LA Mbowe ambalo chama kimeazima!. Ukienda mikoani ni aibu, viofisi utadhàni viota! Mfano nzuri ni kiota cha mkoa Wa Ruvuma pale Mfaranyaki, ni aibu!

4. Sura ya utaifa:. CCM kina sura ya utaifa kwa maana ya kubeba makabila na dini tofauti tofauti. Kwa chadema ni akina " aroo mangi nipatie era Yangu nilokukopesha juzi aroo!". Ni habari kwa chama kinachotafutwa kuungwa mkono na watz wrote huku chenyewe kina sura ya ukabila.

Tofauti zingine zaidi.....
 
Sijui wewe MJENGA umekula maharage gani wewe, Au sijui umelogwa na nani wewe, Au ndio mwanzo wako Wa ukichaa!
 
Hiyo Namba 1 you are completely wrong....

Hivi yale magamba yalishavuliwa??
 
Huna hoja,unaleta mambo mepesi mepesi ambayo hayana ukweli.Hata kama unatetea tonge,jaribu kifikiri kodogo.
 
Zifuatazo ni tofauti kati ya CCM na CHADEMA.
1. Kuchukua hatua dhidi ya viongozi wake wanaotuhumiwa na ufisadi na kushindwa kiutendaji:. CCM imeshuhudiwa ikiwabadilisha Yusuph Makamba, Wilson Mukama baada ya kushindwa kwenda na kasi. Pia serikali ya CCM imekuwa ikichukua hatua dhidi watendaji wake wanaotuhumiwa kwa ufisadi mfano Lowassa, mawaziri kadhaa na watendaji wengine. Mtakumbuka sakata la Dr. Nchimbi, Kagasheki na wengine walipowajibika kwa makosa ya wengine. Hii ni tofauti kwa chadema ambapo pamoja na viongozi wake wakuu kama Mbowe na Dr. Slaa kutuhumiwa kwa ufisadi bado wameendelea kupeta. Aidha Wilfred Lwakatare hajachukuliwa hatua had I sasa mbali na ushahidi Wa video kuwa alishiriki kupanga ugaidi. Kada Wa chadema Ben Saanane anadunda tu mbali na kutuhumiwa kutoka kumuua Zitto kwa kutumia simu.

2. Uchaguzi Wa kidemokrasia: CCM Yangu kuanza kwake upon utaratibu Wa kubadilisha safu ya uongozi na has a ngazi ya taifa. Kwa chadema ni ndoto. Yangu na Yangu ni Mbowe tu!

3. Kujiimarisha kimiundombinu; CCM kinatumia ruzuku take kuwalipa mishahara mizuri viongozi wake, kujengea na kukarabati ofisi za chama ngazi zote na pia kununulia vyombo vya usafiri makatibu wake walau Wa wilaya na mkoa. Hii ni tofauti na CHADEMA ambapo ruzuku inatumika kujenga nyumbani na makasiri ya Mbowe huko Dubai, Afrika kusini na Marekani. Huwezi amino chadema hakuna hata ofisi take moja ya kujenga yenyewe, pale ufipa ni jengo LA Mbowe ambalo chama kimeazima!. Ukienda mikoani ni aibu, viofisi utadhàni viota! Mfano nzuri ni kiota cha mkoa Wa Ruvuma pale Mfaranyaki, ni aibu!

4. Sura ya utaifa:. CCM kina sura ya utaifa kwa maana ya kubeba makabila na dini tofauti tofauti. Kwa chadema ni akina " aroo mangi nipatie era Yangu nilokukopesha juzi aroo!". Ni habari kwa chama kinachotafutwa kuungwa mkono na watz wrote huku chenyewe kina sura ya ukabila.

Tofauti zingine zaidi.....

Hivi wewe zinakutosha kweli
 
mkuuu!
1. hill kitaifa unalijadili vipi mbona Pemba ccm haina hats mwenyekiti we kijiji ?

2. kwenye uongozi hivi huoni tofauti us kuchagua na kubadilisha? Shibuda alipochukua fomu kilimpata nini unakumbuka?
 
umevurugwa wewe si bure! hizi buku 7 zinawawehusha
 
Tusitukanane jamani tujadili kwa hoja!
 
Na CCM Imeundwa Kwa Misingi Ya Historia Na CHADEMA Imeundwa Kwa Misingi Ya Falsafa.
 
MWENYEKITI HAPINGWI ANAGOMBEA PEKEE YAKE, hata kuchukua fomu WANACHAMA WENZAKE HAWARUHUSIWI hiyo ni CCM
 
Mtu akiwajibishwa na BUNGE hiyo sio CCM, Serikali ambayo ni ya CCM haijawajukulia hatua yoyote, hakuna kufikishwa mahakamani, HIVYO NI MCHEZO WA KUI|GIZA fisadi Lowasa ajihuzuru kisha agombee urais uliona wapi? aliwajibishwa vipi iwapo fisadi naye anasumbua ndani ya CCM kutaka urais? HAYO NI MAIGIZO YA CCM
 
CHADEMA INA kila kabila, na ina kila dini, angalia viongozi wake wabunge wake na vitongoji /mitaa yake hakika kila aina ya tabaka la binadamu lipo
 
Maishani mwangu sjawahi kuona Nina la mjenga likawa timamu kiakili kuna limjenga tulikuwa tunafanyanalo kazi punguwani kabisa
 
Tusitukanane jamani tujadili kwa hoja!

we mwenyewe huna OJA,kwanini husitukanwe? nakushauri punguza mzigo wa UPUM......VU kichwani mwako! kilichotokea nchi zingine kama NIGERIA,Tanzania pia October lazima kiwe!jiandae kisaikolojia! hata mwenyekiti wenu taifa alishasema mjiandae ila nyie MIZIGO YA CCM hamuelewi alimanisha nini! October hiyooo, ya KATIBA tayari mmeshafeli,CHADEMA na UKAWA kwa pamoja walisema haiwezekani muda hautoshi,mkabisha, yako wapi sasa? haibu yenu!
 
Back
Top Bottom