Zijue tabia 7 za wanawake wanao-cheat

Zijue tabia 7 za wanawake wanao-cheat

drclark

Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
57
Reaction score
12
Kama mke wako, mpenzi wako au side chick wako ana tabia zifuatazo, amesha-cheat kwako au ipo siku ataku-cheat.

1) Ana boreka haraka – Wanawake wanaoboreka haraka nirahisi kutafuta mwanaume mwingine wa kum-entertain, muda sio mrefu huyo mwanaume atachoka kum-entatain rafiki asiye na faida na ndio hapo atakapo anza kudai faida zake na wanaishia kuwa friends with benefits.

2) Marafiki wengi wa kiume – Mwanamke mwenye marafiki wengi wa kiume ni rahisi ku-cheat kwasababu anapata muda mwingi wa kuongea na wanaume wengine, watamsifia anavyopendeza, kama wewe unamwambia amependeza mara moja kwa wiki basi wenzako watamwambia anapendeza kila wanapoonana. Wataabza kumtoa out na mwisho wake ataona hao wanaume wamanjali kuliko wewe na kulala nao.

3) Anapenda attention – Wanawake wanaopenda attention ni rahisi kudanganyika. Wanaume wengi hasa ambao hawataki kuwa committed kwenye mahusiano yoyote wanatoa sana attention kwa wanawake. Mwanamke anayependa sana attention hawezi ridhishwa na attention ya mwanaume mmoja.

4) Anapenda vitu “material things” Wanawake wengi wanaopenda material things wanashindwa kupata kila kitu kutoka kwa waume zao au maboyfriend zao na kuishia kutafuta mwanaume mwingine ambaye ana uwezo wa kumnunulia vitu anavyotaka ili awatese wenzake kwenye instagram.

5) Ana marafiki ambao ni michepuko – Umeshasikia usemi kuwa ndege wanaofanana huruka pamoja, hata kama demu wako hana tabia ya ku-cheat, akiwa anakaa sana na marafiki ambao wana-cheat na yeye atashawishika kujaribu. Kama mke wako au demu wako ana kupigia story za marafiki zake wanao-cheat mwambie aachane nao haraka sana.

6) Anapenda kufanya ngono kuliko wewe – kila mkimaliza kufanya tendo la ndoa mwenzako anakwambia anataka tena, na wewe humtimizii basi lazima tatafuta serengeti boy ambaye anamsikiliza na kumpa anachotaka.

7) Anaujuzi kitandani kuliko wewe – Wewe kama umeshawahi kuingia kwenye dancing floor na kucheza na mtu ambaye anajua kucheza kuliko wewe, unasubiria tu wimbo ukiisha ukakae chini kabla hujaaibishwa, au kama wewe ndio unayejua kucheza vizuri utatafuta mtu mwingine anayejua kucheza kama wewe. Kwenye tendo la ndoa ni hivyo hivyo kama mwenzako ana ujuzi kuliko wewe, inabidi ufanye mazoezi ufikie kwenye ujuzi wake la sivo muda sio mrefu atasubiri wimbo ukiisha akakae chini au atafute mtu mwingine anayejua kucheza kama yeye.
 
Nakuunga mkono asilimia nyingi tu thru experience mimi kama mwanaume ....
 
Wanawake tuna wadrive crazy eh

Mara akiwa na mdomo mpana ana maumbile mapana

Leo mmekuja kivingine au ndio nitoke vipi?

Tupimzisheni kidogo

Labda wanamalizia Mwaka, mwakan nadhan hayo mambo ya kila siku wanawake wenye.... Yatapungua ama kwisha kabisa
 
Sisi ni kama maji...wasipotunywa watatuoga
Kweli mkuu mambo ya wanawake au wanaume hayawezi kuisha kwenye jukwaa otherwise mahusiano uote ya kimapenzi ama ndoa nayo yaishe ndio na story hiz zitaisha kitu ambacho hakipo
 
Back
Top Bottom