Zijue Sifa za wife Material unayemhitaji......

Wife material ndo yupi? Au yule tuaemuona kwenye wimbo wa prof. Jay wa zubeda?
 

nimeipenda sana hiyo namba 9
 
Wife material anakuwa na umbo la wastani sio kunenepeana kama pipa la taka,
wife material anajua kuikatikia na kushughulika kwenye kitanda sio kukaa tu utafikiri anabakwa au kaolewa kwa bahati mbaya...
 
Kwahiyo ambao hawajawahi kulima siyo wife material?
Mkuu siku zote tafsiri ya jembe kwenye mahusiano siyo kulima ina maana kubwa mno..Maana yake upo tayari kuvumilia katika hali yoyote itakayojitokeza ndani ya mahusiano yenu..Mfano mtu alikuwa na kazi na kwa bahati akapatwa na tatizo je utakuwa tayari kuungana naye katika hali hiyo ya mabadiliko ya kipato????Au je mlikuwa mnakula nyama kila siku na na hali ya kifedha ikabadilirika basi uwe tayari kudance siyo kuendelea na life style ile ile
 
Wife material anakuwa na umbo la wastani sio kunenepeana kama pipa la taka,
wife material anajua kuikatikia na kushughulika kwenye kitanda sio kukaa tu utafikiri anabakwa au kaolewa kwa bahati mbaya...

Wife material ni yule anayeamini kuwa fedha au elimu siyo kigezo cha kujenga na kuimarisha mahusiano bali upendo na kuvumiliana ndio kigezo kwa hayo mengine mungu ndie mtoaji leo waweza kuwa nacho na kesho ukawa huna..
 
..labda kijembe!

Katika mahusiano jembe siyo jembe la kilimo ....ndo hapo sasa mnapokuwa na short understanding juu ya mahusiano na torelancy inakuwa ndogo kwa kufikiria kuwa mahusiano siku zote yatakuwa outing tu.....na kwenda bilicanas au mzalendo pub au kwenye show ya P-sqaure...
 
Wife material anajitambua na kujiheshimu na kukuheshimu.

Wife material ni yule anayejuwa na kutambua kuwa heshima haijengwi kwa aina ya gari unayoendesha au kazi unaoifanya bali kwa utu ulionao kwa kuwa vyote hivyo vinatafutwa na kupatikana na mungu akikujalia vipo tu.
 

Hapa kweli kabisa yani.. duh! 7, 8 na 9 BIG UP.
 
Wife material hatishwi na utajiri uliopo home kwenu, bali hupenda kuona bidii za mumewe katika kutafuta!
 
Wife material hanuni wala kukususia mnapokosana hutafuta njia ya kutatua tatizo

wife material haogopi kukueleza ukweli kuhofia kua utachukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…