Zijue sababu kuu za waziri Sitta kujitoa mhanga kutetea uongozi wa TPA uliotimuliwa

Smart mwananchi

Senior Member
Jul 17, 2014
102
50
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firahuni. Jana kwa ujasiri mkubwa mzee mmoja six aliyekuwa waziri ametoka akitetea uongozi uliopita wa TPA na Bodi; shida ya kula mnasahauu hata kunawa. Mzee six alinufaika na uongozi wa TPA kinyume na taratibu nitaorodhesha hapa chini ili mzee na spika wetu aje ajibu asifikiri watu hawamjuii ila ni muda tu wa jipu haujafika

1....TPA ilimnunulia waziri V8 Mpya baada ya kuamishiwa wizara ya uchukuzi alikataa kutumia gari la mtangulizi wake akaagiza TPA wamnunulie gari jipya likanunulia bahati mbaya hawakujua mzee anapenda black color metalic wakaleta silver....ilibidi gari ikabadilishwe rangi kwa gharama za TPA gari mpyaaaaaaa......Mzee sema hapaaaa wakati watu hawana dawa wewe unabishania rangi ya gari mamilioni yakatumika........

2. TPA waliwakopesha TAA ( Tanzania airport Authority) 3 Billion kwa maagizo ya waziri six six kwenda kulipa kampuni iliyotafuta viwanja vya watu walioamishwa kupisha ujenzi wa airport mpya
Kampuni iliyolipwaaa hizo hela mtoto wake mzee Sixsix ni mmiliki Ben..... Mtoto wake anakampuni inaitwaaa Real Estate wamelipwaaa mzee kanushaaa... TISSS chunguzaaaa ukiona mtu mzima analia jua kashikwa pabaya. hekima ya kawaida ungetulia kimya kisu kipite mzee hapa ni Presidaaa Magufuliiiii. 3 Billion za udalaliiiii kudadekiiii
3. Kuna tetesi za ukweli kuwa jamaa walimchangia mzee USD 500000 kwenye kampeni za urais na Basi mzee toka ukanusheeee......

Kwa leo nimeanza na hizo ngoma ni nomaaaa hakuna kupona mtuuuuuu.... Pole sana mzee anyway ujerumani bei ya asali imepanda sana unaweza piga deal za kupeleka huko maana.......

naomba kuwasilisha inauma sana watu wanapokwiba halafu wanatufanya malofaaaa
 
...six huyu six....Haiseee .....ex-govt ilikuwa imebeba vitu vya ajabu sana! / MKM BANA KISAWA SAWA WEFI WOTE.
 
Haya Mimi nilihisi mzee wa viwango kuna najipu yanatambaa kuekejea upande wake maana alikurupuka kama kaingiliwa na siafu kwenye suruali....ngoja muvi iendelee!
 
Huyu Mzee toka aliposhindwa kuludisha chenji ya waliokuwa wajumbe wa bunge maalumu la katiba waliosusa na kujitoa hapo ndio uzalendo wake kwa taifa ulipoanza kutiliwa mashaka.

Anatakiwa kusoma alama za nyakati huu ni utawala mpya na mambo mapya.
 
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firahuni. Jana kwa ujasiri mkubwa mzee mmoja six aliyekuwa waziri ametoka akitetea uongozi uliopita wa TPA na Bodi; shida ya kula mnasahauu hata kunawa. Mzee six alinufaika na uongozi wa TPA kinyume na taratibu nitaorodhesha hapa chini ili mzee na spika wetu aje ajibu asifikiri watu hawamjuii ila ni muda tu wa jipu haujafika

1....TPA ilimnunulia waziri V8 Mpya baada ya kuamishiwa wizara ya uchukuzi alikataa kutumia gari la mtangulizi wake akaagiza TPA wamnunulie gari jipya likanunulia bahati mbaya hawakujua mzee anapenda black color metalic wakaleta silver....ilibidi gari ikabadilishwe rangi kwa gharama za TPA gari mpyaaaaaaa......Mzee sema hapaaaa wakati watu hawana dawa wewe unabishania rangi ya gari mamilioni yakatumika........

2. TPA waliwakopesha TAA ( Tanzania airport Authority) 3 Billion kwa maagizo ya waziri six six kwenda kulipa kampuni iliyotafuta viwanja vya watu walioamishwa kupisha ujenzi wa airport mpya
Kampuni iliyolipwaaa hizo hela mtoto wake mzee Sixsix ni mmiliki Ben..... Mtoto wake anakampuni inaitwaaa Real Estate wamelipwaaa mzee kanushaaa... TISSS chunguzaaaa ukiona mtu mzima analia jua kashikwa pabaya. hekima ya kawaida ungetulia kimya kisu kipite mzee hapa ni Presidaaa Magufuliiiii. 3 Billion za udalaliiiii kudadekiiii
3. Kuna tetesi za ukweli kuwa jamaa walimchangia mzee USD 500000 kwenye kampeni za urais na Basi mzee toka ukanusheeee......

Kwa leo nimeanza na hizo ngoma ni nomaaaa hakuna kupona mtuuuuuu.... Pole sana mzee anyway ujerumani bei ya asali imepanda sana unaweza piga deal za kupeleka huko maana.......

naomba kuwasilisha inauma sana watu wanapokwiba halafu wanatufanya malofaaaa
Hii Nchi imetafunwa sana na wakubwa kwa hali hii.
 
Hao ndo viongozi tulionao, wapo kwa maslahi yao na si kwa maslahi ya umma...ndo wakome...kudadadeki...
 
Mkuu Smart hakika umenena tena kwa uchungu mkubwa maneno bila kumung'unya tunataka wazalendo kama wewe najua wapo wengi wenye data za hawa vigogo washatuibia sana mamlaka husika chunguza huyu Mzee Six anachezea Simba sharubu.
 
Huyu mzee six ni mnafiki sana na ni jipu tambazi muda ukifika lazima litumbuke tu,anakuja na utetezi wakati madudu kafanya mwenyewe anafikiri JPM haoni
 
Watu wanafikiri Magufuli anajifungia kwenye chumba na Majaliwa then wanatumbua majipu .....uozo wote na hatua stahiki iko wazi ni mzee kuamua tu aanze na faili gani ....kazi ndio imeanza ....watalia wengi hadi nchi inyooke ....
 
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firahuni. Jana kwa ujasiri mkubwa mzee mmoja six aliyekuwa waziri ametoka akitetea uongozi uliopita wa TPA na Bodi; shida ya kula mnasahauu hata kunawa. Mzee six alinufaika na uongozi wa TPA kinyume na taratibu nitaorodhesha hapa chini ili mzee na spika wetu aje ajibu asifikiri watu hawamjuii ila ni muda tu wa jipu haujafika

1....TPA ilimnunulia waziri V8 Mpya baada ya kuamishiwa wizara ya uchukuzi alikataa kutumia gari la mtangulizi wake akaagiza TPA wamnunulie gari jipya likanunulia bahati mbaya hawakujua mzee anapenda black color metalic wakaleta silver....ilibidi gari ikabadilishwe rangi kwa gharama za TPA gari mpyaaaaaaa......Mzee sema hapaaaa wakati watu hawana dawa wewe unabishania rangi ya gari mamilioni yakatumika........

2. TPA waliwakopesha TAA ( Tanzania airport Authority) 3 Billion kwa maagizo ya waziri six six kwenda kulipa kampuni iliyotafuta viwanja vya watu walioamishwa kupisha ujenzi wa airport mpya
Kampuni iliyolipwaaa hizo hela mtoto wake mzee Sixsix ni mmiliki Ben..... Mtoto wake anakampuni inaitwaaa Real Estate wamelipwaaa mzee kanushaaa... TISSS chunguzaaaa ukiona mtu mzima analia jua kashikwa pabaya. hekima ya kawaida ungetulia kimya kisu kipite mzee hapa ni Presidaaa Magufuliiiii. 3 Billion za udalaliiiii kudadekiiii
3. Kuna tetesi za ukweli kuwa jamaa walimchangia mzee USD 500000 kwenye kampeni za urais na Basi mzee toka ukanusheeee......

Kwa leo nimeanza na hizo ngoma ni nomaaaa hakuna kupona mtuuuuuu.... Pole sana mzee anyway ujerumani bei ya asali imepanda sana unaweza piga deal za kupeleka huko maana.......

naomba kuwasilisha inauma sana watu wanapokwiba halafu wanatufanya malofaaaa
yote hayo ni miongoni mwa sifa kuu ili uweze kupata uongozi ndani ya ccm
 
Nikifika hapa ndio huwa najiuliza kwa nini mwishoni mwa serikali iliyopita walituletea mswaada Wa cyber ili vitu hivi tusiwe tunavijua.
Safi sana ngoja tusubiri majibu kama hiki suala litamfikia
 
Mijizi papa haijaguswa nashangaa sana watu hawa ndio wakuwatumbua majibu kwanza kuna majoka hayajaguswa na manyangumi dah baba pombe unakazi kubwa
 
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firahuni. Jana kwa ujasiri mkubwa mzee mmoja six aliyekuwa waziri ametoka akitetea uongozi uliopita wa TPA na Bodi; shida ya kula mnasahauu hata kunawa. Mzee six alinufaika na uongozi wa TPA kinyume na taratibu nitaorodhesha hapa chini ili mzee na spika wetu aje ajibu asifikiri watu hawamjuii ila ni muda tu wa jipu haujafika

1....TPA ilimnunulia waziri V8 Mpya baada ya kuamishiwa wizara ya uchukuzi alikataa kutumia gari la mtangulizi wake akaagiza TPA wamnunulie gari jipya likanunulia bahati mbaya hawakujua mzee anapenda black color metalic wakaleta silver....ilibidi gari ikabadilishwe rangi kwa gharama za TPA gari mpyaaaaaaa......Mzee sema hapaaaa wakati watu hawana dawa wewe unabishania rangi ya gari mamilioni yakatumika........

2. TPA waliwakopesha TAA ( Tanzania airport Authority) 3 Billion kwa maagizo ya waziri six six kwenda kulipa kampuni iliyotafuta viwanja vya watu walioamishwa kupisha ujenzi wa airport mpya
Kampuni iliyolipwaaa hizo hela mtoto wake mzee Sixsix ni mmiliki Ben..... Mtoto wake anakampuni inaitwaaa Real Estate wamelipwaaa mzee kanushaaa... TISSS chunguzaaaa ukiona mtu mzima analia jua kashikwa pabaya. hekima ya kawaida ungetulia kimya kisu kipite mzee hapa ni Presidaaa Magufuliiiii. 3 Billion za udalaliiiii kudadekiiii
3. Kuna tetesi za ukweli kuwa jamaa walimchangia mzee USD 500000 kwenye kampeni za urais na Basi mzee toka ukanusheeee......

Kwa leo nimeanza na hizo ngoma ni nomaaaa hakuna kupona mtuuuuuu.... Pole sana mzee anyway ujerumani bei ya asali imepanda sana unaweza piga deal za kupeleka huko maana.......

naomba kuwasilisha inauma sana watu wanapokwiba halafu wanatufanya malofaaaa
Ukitupa jiwe gizani na ukisikia mtu anapiga kelele ujue limempata hilo,Mzee Sita jipu limeiva sasa ni wakati wake wa kutumbuliwa
 
inaweza kuwa kweli kabisa asilimia zote ila magufuli hanalakumfanya Sitta, wata chambana kama kawaida yao na itabaki kuwa stori kwa wananchi,kama komba alivyoimba ccm ni ileile
 
Hawa wazee ni kwanini wasikae kimyaaa,
Halafu huyu mleta uzi anaonekana anayajuwa mengi sana kuhusu huyu mzee.
 
......6 ni jipu ila nimependa zaidi hii "ujerumani bei ya asali imepanda sana" fursa jamani
 
Huyu mzee Sita anapata wapi ujasiri wa kutoka hadharani na kutueleza hayo madudu,TISS mko wapi shughulikeni na huyu mtu.
 
Back
Top Bottom