Ndo mbwe mbwe zaoSidhani kama kuna ukweli
Nimecheka had nimepaliwa biaWakili msomi!
Hii kozi yao kama huna kipaji cha maneno mengi uongo uongo,kujiamini kuliko pitiliza ni heri usiisome kama huna sifa hzo
Hachelewi kuniandikia samansi ya mkwara #bite[emoji16][emoji16] rafiki bite pita apa kuna mtu anawachokoza
Hatujamalidhaaaaaaa...Zamani nilifikili kila wakili unayemuona anaweza kesi zote! Kumbe siyo! Kumbe nao wamegawanyika kulingana na eneo alilobobea mfano!
Hizi hapa ni baadhi tu ya mikwara na mbwembwe ya kina hawa ndugu wanaoitwa MAWAKILI (WANASHERIA)
- Wapo mawakili wazuri sana kwenye kesi za aridhi tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za ndoa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za siasa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye biashara na mikata tu
- Wapo mawakili wazuri kwa ajili ya kugonga mihuri tu
1. Wanapenda sana kuitwa "wakili msomi"
2. Hata kuwe na jua Kali namna gani hawaachi kuvaa ya magauni meusi na tai za kisabato
3. Wakili yoyote hata kama hana kazi siyo ukimwambia tu muda was kesi yako lazima akwambie! Ana kesi nyingine mahamani saa au siku moja kabla ya kesi yako lakini atakuhakikishia pia atakuja kukutetea (complication theory)
4. Ukimpigia simu kama hakujui anakata kwanza halafu anakutext (niko mahakamani nani) halafu bdae ndo anakupigia sasa
5. Kesi yoyote hata kama utafungwa hakwambii, atakwambia "Ondoa shaka kesi nyeupe hii"
6. Kesi zote zenye public interest mawakili wanapenda sana kuonesha hawako kimaslahi ya pesa
7. Kesi ya kuku lakini usishaangae akaja na buruguntu kajaza begi la nguo na kimkoba kwa pembeni
8. ...ongezea tabia unayoijua nyingine hapo!
Hadi hapo nimejifunza kwamba ukitaka kuwa wakili lazima pia ujue kucomplicate Mambo!
Hahah wakili msomiWengi weupe kichwani. Wazee wa templates, kila kitu kwa ni "Kwa kuwa " Na kwa kuwa, ...." "Hivyo basi .."
Weee labda hujakutana nao,kuna mwingine anayo namba yangu na ananifahamu bahati nzuri ni pesa nilikuwa nikimpigia nimpatie, cha ajabu hakuwa akipokea mpaka ikate afu apige yeye au akwambie tuma sms.Sidhani kama kuna ukweli
Kwanza nikuweke sawa. Si kila mwanasheria ni wakili. Wakili ni zaidi ya mwanasheria manake anamuhuri, amesajiliwa. Hawa wanasheria hawajasajilia wala hawana mihuri. Na hi ndiyo mana huitwa wakili msomi.Zamani nilifikili kila wakili unayemuona anaweza kesi zote! Kumbe siyo! Kumbe nao wamegawanyika kulingana na eneo alilobobea mfano!
Hii hapa ni baadhi tu ya mikwara na mbwembwe ya kina hawa ndugu wanaoitwa MAWAKILI (WANASHERIA)
- Wapo mawakili wazuri sana kwenye kesi za aridhi tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za migogoro ya ndoa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye kesi za siasa tu
- Wapo mawakili wazuri kwenye biashara na mikata tu
- Wapo mawakili wazuri kwa ajili ya kugonga mihuri tu
1. Wanapenda sana kuitwa "wakili msomi"
2. Hata kuwe na jua Kali namna gani hawaachi kuvaa yale magauni meusi na tai za kisabato
3. Wakili yoyote hata kama hana kazi siku hiyo ukimwambia tu siku na muda wa kesi yako mahakamani lazima akwambie! Ana kesi nyingine mahamani siku hiyo au siku moja kabla ya kesi yako lakini atakuhakikishia pia atakuja kukutetea (complication theory)
4. Ukimpigia simu kama hakujui anakata kwanza halafu anakutext (niko mahakamani nani) halafu bdae ndo anakupigia sasa
5. Kesi yoyote hata kama utafungwa hakwambii, atakwambia "Ondoa shaka kesi nyeupe hii"
6. Kesi zote zenye public interest mawakili wanapenda sana kuonesha hawako kimaslahi ya pesa
7. Kesi ya kuku lakini usishaangae akaja na buruguntu kajaza begi la nguo na kimkoba kwa pembeni
8. ...ongezea tabia unayoijua nyingine hapo!
Hadi hapo nimejifunza kwamba ukitaka kuwa wakili lazima pia ujue kucomplicate Mambo!
Wanaowabebea mikoba na mabegi wenzao mahakaman huwa ni sehemu majukumu?Kwanza nikuweke sawa.Si kila mwanasheria ni wakili.Wakili ni zaidi ya mwanasheria manake anamuhuri,amesajiliwa.Hawa wanasheria hawajasajilia wala hawana mihuri.Na hi ndiyo mana huitwa wakili msomi.
Hatukatai kuwatafuta,lakini ktk kutafuta kuna wa ukweli unampata ila siku mbaya ndo unakutana na mbeba mikoba.Sawa na kwa sangoma au wachungaji!Asee likiwapata jambo mbona mtawatafuta😁😁
Hata mimi ni mtazamo wangu nakushangaa wewe povu linavyokutoka,bado nasema sidhani kama kuna ukweli.Weee labda hujakutana nao,kuna mwingine anayo namba yangu na ananifahamu bahati nzuri ni pesa nilikuwa nikimpigia nimpatie,cha ajabu hakuwa akipokea mpaka ikate afu apige yeye au akwambie tuma sms.
Ukweli mtoa mada amewaongelea vizuri mnoo na bado kuna point nyingi hajazigusia wadau tutiririke ili liwe fundisho kwa vijana wanaochipukia.
Kwao nilikuja gundua kitu kimoja,
Sangoma,
Manabii/wachungaji wa mchongo,
Madalali,
Mawakili,wote ni kundi moja sema ktk misheni tofauti!(sorry ni mtazamo wangu)
Vipi tetesi za tabia ya kula pande mbili na wakili wa adui zinaukweli wowowte?Hata mimi ni mtazamo wangu nakushangaa wewe povu linavyokutoka,bado nasema sidhani kama kuna ukweli.
Unasema hudhani,bado unataka tuuchukulie maanani mtazamo wako!Hata mimi ni mtazamo wangu nakushangaa wewe povu linavyokutoka,bado nasema sidhani kama kuna ukweli.