Kwa mantiki ya kuangalia wasanii wa tasnia hizo ulizozitaja toka siku za nyuma mpaka sasa, hili la kumiliki nyumba na gari ni mafanikio ya kupigiwa mfano. Na hasa maisha yetu ya kitanzania kwanza sehemu ya kulala kisha usafiri . Mambo ya kuwa na hisa London/Tokyo/New york stock exchange na lebo za kurekodia music hiyo ni maceleb wa huko nje.