Zijue lugha za wajumbe

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,123
Hapo awali CCM ilikuwa na Kura za maoni kwa ngazi ya ubunge ambapo wajumbe walionesha nguvu yao kwa chama dhidi ya wagombea wa nafasi za ubunge.

Hivi punde wajumbe kwa ngazi ya kata nao wataonesha makali yao kwenye chama kwa wagombea wa nafasi za udiwani.

Na hizi ndio kauli za wajumbe kwa mgombea

Pichani chini

Ongeza na zako

IMG_20200725_133318.jpg
 
Back
Top Bottom