Wooote mmeorodhesha na kubandika picha za kazi zinazofanywa kwenye uchafu, lakini hapo hamna kazi chafu. Kazi chafu hasa ni hii hapa
ila kunusa vikwapa tamu aisee....stimulator safi sana ujueI wont complain about my job again
Wanaoishi kwenye hiyo nyumba hapo nyuma nawahurumia sana hata kama zoezi linafanyika mara1 kwa mwezi.Duh kazi nyingine zinataka moyo wa chuma.
Umesahau ku plus na msokoto.Hapo wamelishwa ubwabwa, kiroba kimojakimoja na buku tatu ya mafuta ya pikipiki wakaona maisha bora...!!
Huwa nakuona ukizila za jamaa, kwani unajua kazi yake?aiseee sili tena hela ya mwanaume....poleni
Hii ya kunusa kwapa wakifanyia maeneo ya kariakoo mida ya saa 11 labda atarudi mnusaji mmoja tu.
ila kunusa vikwapa tamu aisee....stimulator safi sana ujue
kuna harufu ya kiume unakutana nayo unavua nguo mwenyewe bila hata mkopo na kulipia unalipiamnhhh wewe kumbe umo eeh?
kuna harufu ya kiume unakutana nayo unavua nguo mwenyewe bila hata mkopo na kulipia unalipia
Duh kazi nyingine zinataka moyo wa chuma.
ni adimu sana siku hizi wengi mmekuwa wauza sura hadi udi mnajifukiza bwanaumekutana nazo ngapi?
Kiduchu, halafu anaipenda sana kazi yakeHahahah...ni kwamba jamaa analipwa kiduchu au ana matumizi makubwa?
ni adimu sana siku hizi wengi mmekuwa wauza sura hadi udi mnajifukiza bwana
ndio ...jamaa yangu nilienae siku ya kwanza kukutana nae alikuwa ametoka gym nikadata hapo hapohukujibu swali
umewahi kutana nazo na ukavua nguo mwenyewe?