Zijue Kazi Za Ajabu Duniani...

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
76,816
Reaction score
110,068
Kuzibua vyoo na mitaro ya maji machafu...



Jamaa anafanya kazi ya kushika ubao wa kulenga shabaha, jaribu kufikiria mlengaji akosee uelekeo wa risasi




Kulisha mamba...




Hawa kazi yao ni kunusa makwapa ya watu kwa ajili ya kutengeneza manukato au uturi




Huyu sijui kazi yake ni kuzalisha tembo??




Wengine kazi yao ni kukamua shahawa za wanyama...



Ushawahi kujiuliza namna daktari wa meno wa mamba afanyavyo kazi...basi muone huyu



This's one is for the road...jioni njema and adios!!

 
Safi sana mkuu...ila zipo zingine pia za hatari zaidi,ili mradi riziki ipatikane.
 
Duh!na hiyo ya kulisha mamba ikitokea umetumbukia wanakuokoa au ndo walee wasiomzoea mtu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…