Zijue aina za tiles za Goodwill ceramic


Namba ya ofisi haipatikani😎😎
 
Naomba price catalogue ya tiles zenu za Sakafuni na uKutani.Kama mna Wakala Mwanza au Geita itapendeza pia kupata Mawasiliano yake.Namba yangu ni 0752-010710
 
Narudia kusoma kwa makini siku nikifika huko itasaidia
 
Hiyo no 3 50*50 ni sh ngapi box?
 
Huyu mtoa mada naona kama alikimbia kukwepa maswali
Hapana kiongozi ni vile mambo ni mengi sana pia nimebadilisha mawasaliano yangu kwasasa napatikana kwa Namba hii +255 748 572 367 napatikana muda wowote
 
Goodwill mna viwanda MIKOA ipi kwa Tanzania?

Kwa Dar kiwanda Kiko wapi?
Goodwill kiwanda ni kimoja tu ambacho Kiko mkulanga Kijiji cha mkiu . Lakini ofisi na showroom yetu iko Nyerere road karibu na Sido
 
Tiles za 60 by 60 Kwa ajili ya Sakafu inayotumika Sana na inahitaji usafi (Ni Pharmacy) box au SQM ni shs.ngapi?
 
Tiles za 60 by 60 Kwa ajili ya Sakafu inayotumika Sana na inahitaji usafi (Ni Pharmacy) box au SQM ni shs.ngapi?

Chukua pale TAA around about ya kawe chini za india na sasa ziko kwenye promotion box moja wanauza 37 Tsh. Wahi mm nime Chukulia pale.
 
50/50 ni bei gain na box lina tiles ngapi na jumla zinaanzia box ngapi?
Aug 20 nilichat na dada mmoja anaitwa pendo ama upendo sikupenda mashauzi yakee yakijingaa

Kwanza nilipewa namtu nambayake

Napigaa masaa mawili apokei nikasema yuko busy nikamusms nahitaji 50 kwa 50 133 na zinginezoo

Aisee alikaampaka kesho yakee ananitumia msg niko busy mtafute mtu fulani

Nkamjibu uliambiwa nakusubiria wewe acha ujinga badilikeni
 
Mkuu ofisi zenunzikowapi nipe namba ya whatsup inbox
 
Asantw Goodwill mnatung'arisga mjini
 
Ofisi ya wapi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…