Zigooo zigoooo

Kuna siku watu wataweka picha ya mkeo au dada yako humu na caption hiyo hiyo ya "Zigo"
 
Kuna siku watu wataweka picha ya mkeo au dada yako humu na caption hiyo hiyo ya "Zigo"
We ni ke au me?
Wakiweka kwani unadhani nitaumia?
Au hiyo “zigo” wewe unaichukuliaje..
mi naona ni sawa na kusema “pua” au “mkono”
 
vibabu havikuanguka hivi kweli
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…