Zigooo zigoooo

Nilipishana nae juzi kati hapo posta kwa kweli anatia huruma.
Mi ilibidi nisimame nimwangalie vizuri mana anatembea kama ananguka hivi.
Anatia huruma kwa kweli
Hahahahaha mkuu hujaongeza chumvi kweli?
 
wazungu hawana habari na matako. matakoni yenu The Africans!
wana habari na matako yako wewe mkimbizi au!?
Usiwe na husda na wadada wetu wamejaaliwa banaa embu mcheki witnessj kwanza
 
Hahaha daah hata kumpa buku la maji mkuu
Kwa umaarufu aliokuwa nao niliogopa kumsogelea.
Ningeweza shushiwa kipondo kutoka kwa raia mana wangehisi naenda kumtapeli bilionea.
 
Nilipishana nae juzi kati hapo posta kwa kweli anatia huruma.
Mi ilibidi nisimame nimwangalie vizuri mana anatembea kama ananguka hivi.
Anatia huruma kwa kweli

Usiniambie 900 itapendeza ilikuwa siasa..... duuh.
 
Kama namfananisha flani hivi hebu ngoja nimuangalie vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…