Zifahamu tabia 10 za mtu mwenye wivu

wivu si lazima ushike simu ya mwenza wako, pia kuhisi mkeo anatembea nje ni wivu mbaya hivo wivu mzuri ni kumwekea mipaka na pindi anapoivuka unaonesha hisia za kutopendezwa na hilo.
 
Hiyo ya kwanza ina ukakasi, mimi zote tisa sina(ga), ila hiyo ya 1 hapana. Ni kweli kuna mafanikio mengine hayashtushi, sasa kwa nini uwe mnafiki ukijifanya kustaajabu? Kutostaajabishwa haimaanishi una wivu hapana. Tusitafsiriane vibaya katika hili.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sawa mtoa mada
Niliponunua "friji" jirani yangu joji hakuona hivyo nikaliweka nje hadi arudi ndio niliingize japo mama kimbo wangu alitaka tuliwashe fasta aweke maji ya baridi si unajua joto la dar.

Sasa mzee hamisi baba mwenye nyumba wangu akadai eti mimi "friji " langu ndio chanzo cha mgawo wa umeme nchini hivyo niliuze haraka kabla makamba hajanikamata..

Hivyo naunga mkono hoja.
 
Very good indeed!
Siri ya maisha:
1. Ishi maisha rahisi
2. Usipende kushindana/kujilinganisha na wanaokuzunguka
3. Uwe mnyenyekevu
4. Uwe flexible ( yaani hata kama una gari, usione eti aibu kupanda daladala au kutembea kwa miguu)
Hii itakusaidia sana kuishi hata katika hali ngumu. Na hii ni muhimu sana kwa waajiriwa ambao Siku moja watastaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…