1. Duniani Kuna mambo. Nipo hapa Melbourne, Australia. Nimekutana na kitu cha ajabu kiasi.
2. Wenzetu hawa wamefikia kuwa na GENDER NEUTRAL TOILETS yaani humo anaingia yeyote tu bila kujali jinsia yako.
3. Na ni takwa la Kisheria sehemu za Umma kuwa na hizo facilities.
NB:Tembea uone.
View attachment 3072914View attachment 3072915