JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 625
- 938
Kujitenga ghafla na marafiki, familia na jamii
Kuongeza kiwango cha matumizi ya #pombe na #DawaZaKulevya
Tabia ya ukali ya ghafla na mabadiliko makubwa ya mhemko (mood swing)
Tabia ya ghafla ya uzembe au kusukumwa kufanya jambo na kulala sana au kidogo.
Kuzungumzia kuhusu kukosa tumaini na upweke
Kama umemtilia shaka ndugu yako ama rafiki wa karibu ana dalili za msongo wa mawazo basi tambua kuwa hali hiyo si nzuri kwa afya kwani inaweza kumsababishia tatizo la akili. Unaweza kuongeza ukaribu nae na jaribu kuzungumza nae kwa utaratibu ili kumsaidia.