Zidumu fikra za Katibu wa Chama.....

Zidumu fikra za Katibu wa Chama.....

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,978
Kile Chama kimepata Katibu mwenye fikra na busara zaidi ya mkubwa wake...
Katibu anawaza yaliyo na hekima ya uongozi zaidi ya aliye juu yake...
Mwenyekiti alifanya uteuzi wa kijana wake ndani ya Chama chake na kumfanya awe mkuu wa mkoa,.. Licha ya watu wengi katika nchi kupiga kelele kwamba uteuzi huu umekua na dosari kutokana na tabia na elimu ya kijana huyu, lakini mwenyekiti alisimamia kwamba ndiye kijana mchapa kazi na msomi kwake....
Kuna mawaziri wameondoka na wengine kuzibwa midomo kbs, kijana amekua anafanya atakacho lkn fikra za mwenyekiti zimeendelea kutoona ubaya na mapungufu ya kijana wake..
Leo Katibu ameiona aibu hii, na haoni shaka kusimama ktk kweli kueleza makosa ya mwenyekiti wake kwamba hakuchagua kijana aliyeandaliwa, mwenye NIDHAMU, UADILIFU NA UAMINIFU wa uongozi...
Hapa tuseme mwenyekiti fikra zake haziwezi kutuongoza, kwani kiongozi Lazima awe Muadilifu, Uadilifu na nidhamu, imekuaje ameleta kijana kimeo na haya yote hayaoni?
Ni aibu kwa mwenyekiti kukaa kimya juu ya kijana wake, na Katibu kuukosoa uteuzi huu,... Sipati picha yangefanyika kwa mkoa mwingine... Hii ni aibu kwa mwenyekiti kwamba, fikra za mwenyekiti hazifai kuungwa mkono tena...
ZIDUMU FIKRA ZA KATIBU WA CHAMA..
 
Bashite anampaka mavi JPM kutokana na upupu anaoufanya.

Sometimes huwa akipewaga nafasi ya kuzungumza kwenye kadamnasi huwa najiandaa kisaikolojia kwasababu najua tu saa yoyote atatema shombo.

Kama angejitathimini na kujirekebisha kidogo kwenye namna ya kuwasilisha ujumbe kwa jamii.... I mean awe anajitahidi kukisikiliza kile anachokitamka na kukitafakari kukistructure kabla hajakitamka atafaa sana na atakuwa bonge la kiongozi ndani ya CCM
 
Mungu hawezi kukupa vyote mkuu yule kapewa kuongea porojo nandiomaana unaona mapicha picha tuu
Bashite anampaka mavi JPM kutokana na upupu anaoufanya.

Sometimes huwa akipewaga nafasi ya kuzungumza kwenye kadamnasi huwa najiandaa kisaikolojia kwasababu najua tu saa yoyote atatema shombo.

Kama angejitathimini na kujirekebisha kidogo kwenye namna ya kuwasilisha ujumbe kwa jamii.... I mean awe anajitahidi kukisikiliza kile anachokitamka na kukitafakari kukistructure kabla hajakitamka atafaa sana na atakuwa bonge la kiongozi ndani ya CCM
 
Katibu amekiri kijana wake hakuandaliwa kuwa kiongozi,.. Maana yake hafai kuwa kiongozi.. Nn kifanyike sasa
Bashite anampaka mavi JPM kutokana na upupu anaoufanya.

Sometimes huwa akipewaga nafasi ya kuzungumza kwenye kadamnasi huwa najiandaa kisaikolojia kwasababu najua tu saa yoyote atatema shombo.

Kama angejitathimini na kujirekebisha kidogo kwenye namna ya kuwasilisha ujumbe kwa jamii.... I mean awe anajitahidi kukisikiliza kile anachokitamka na kukitafakari kukistructure kabla hajakitamka atafaa sana na atakuwa bonge la kiongozi ndani ya CCM
 
Bashite anampaka mavi JPM kutokana na upupu anaoufanya.

Sometimes huwa akipewaga nafasi ya kuzungumza kwenye kadamnasi huwa najiandaa kisaikolojia kwasababu najua tu saa yoyote atatema shombo.

Kama angejitathimini na kujirekebisha kidogo kwenye namna ya kuwasilisha ujumbe kwa jamii.... I mean awe anajitahidi kukisikiliza kile anachokitamka na kukitafakari kukistructure kabla hajakitamka atafaa sana na atakuwa bonge la kiongozi ndani ya CCM
Upo sahihi.
 
Huyo Bashite wanampa vyeo ambaovyo hawezi kuvitumikia ipasavyo
Mimi nadhani anafit na natakiwa kuendelea maana pafomasiyake nzuri kwenye uenyekiti kuratibu Utekaji.
 
Mkuu busara inafundishika, mtu akitaka awe na hekima akiitfuta ataipata.
Makonda bado hajachelewa anaweza kufanya hivyo
Kuna kiburi anachokipata makonda ambacho hakimpi sababu ya kutaka kujifunza na kubadilika...
 
Wanampa vyeo ambaovyo hawezi kuvitumikia ipasavyo
Mimi nadhani anafit na natakiwa kuendelea maana pafomasiyake nzuri kwenye uenyekiti kuratibu Utekaji.
Labda hicho ndicho kinachoendelea kumuweka kwenye kiti.. Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom