Unajua Kwanini tumejitokeza kwa wingi kumpokea Rais Samia. Na mimi nimefika hapa na Mwanangu? Kazi ya Rais Samia na historia yake imenipa msukumo huu kuja hapa leo kaka angu (kwa lafudhi ya watu wa Mtwara)!!
Hebu fikiria kaka mume wangu ni Mwalimu huwa anamuhadithia mwanangu hadithi ya maisha ya Rais Samia na familia aliyotokea na mwanangu anaamini kuwa siku moja anaweza kuwa kiongozi mkubwa kama Rais Samia haijalishi ametoka familia gani?
Binti yangu leo atakuwa na furaha ya kumuona Rais Samia. Mama akanionesha na wazazi wengi waliokuja na watoto wao kwenye mkutano ule wale wote wanaweza kuguswa na namna nyingine ila uongozi wa Rais Samia umefanya mambo mengi sana Mtwara tuna kila sababu ya kujivunia juu ya uongozi wake.
Uongozi wa Samia unagusa maisha ya wengi.