Rais anatembelea mkoa wa Morogoro, ni mkoa wenye matatizo mengi ambayo yamejificha Kilombero, Ifakara na Mvomero kuna matatizo ya wakulima na wafugaji kuna watu walikuwa wanafyeka misitu kwa ajiri ya kuni na mkaa wakajimilikisha hayo maeneo kama yao na kuna watu wazito wamejimilikisha mapori kwa maelfu ya ekari na mji wa Morogoro una matatizo ya maji yote hayo tunakuomba uyashughulikie tamko lako la hayo matatizo, ndio nafuu kwa wanyonge walio wengi.
Kwani ziara za ras ni za kutatua kero ama kukagua miradi ya maendeleo? Mwambieni mbunge wenu atatue matatizo yenu na siyo rais.Kama mlichagua mbunge kilaza shauri yenu
Hakika JK hana jipya ndani ya mwaka mmoja uliobaki,ULANGA kuna tatizo la barabara ambayo ni mbovu kupindukia,Kivukoni - Mahenge,Lupiro - Malinyi,umeme Malinyi ni ndoto tokea kuumbwa kwa dunia,bei ya mpunga ni majanga.
ukienda kule mbingu,idete.Mngeta na maeneo ya jiran grid ya taifa inawapita aiwafaidish kitu,na vijij vile vinakua kwa kasi sasa,umeme unaitajika maeneo hayo.