Ziara ya Mbunge Jimbo la Nkenge

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Mbunge Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo akikabidhi mabati 120 kwa ajili ya kusapoti ujenzi wa nyumba ya Katibu wa vijana wa CCM Wilaya ya Missenyi.

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe Florent Kyombo akipokea cheti cha pongezi kutoka UVCCM wilaya ya Missenyi.

Mapokezi ya Mbunge Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, Nyabutaizi Park Bunazi, Kikao cha Baraza la UVCCM Missenyi.

Wajumbe wa kamati ya Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa vijana wilaya ya Missenyi wakiwa na viongozi wa Vajama cha Mapinduzi wilaya ya Missenyi.

 
Anaaga ubunge huyo
 
Mwambieni tu kwamba harudi bungeni 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anapata hasala vipesa vyake avitunze kwaajili ya badae ubunge basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…