mwanza yetu
New Member
- Sep 25, 2015
- 4
- 1
Tuambieni na mgombewa mwenza wa ukawa leo anaendelea na kampeni wapi?
[h=3]MKE WA LOWASSA ANAGAWA BAHASHA MCHANA KWEUPEEEE[/h]Huyu si ndo yule mama mhuni anagawa pesa kwenye mikutano yake?
Ccm inasubiri kuzikwa siku 23 zijazo
[h=3]MKE WA LOWASSA ANAGAWA BAHASHA MCHANA KWEUPEEEE[/h]
![]()
Nashangaa sana kuona mnataka watu kuwachangia wakati huyu mama akiendelea kutoa bahasha mitaani pia sera zenu mnasema mabadiliko kila kitu kitakuwa bure kwanini mnatutaka tuchangie?
Lowassa si anasema kuwa kila kitu kitakuwa bure, mbona anachangisha sasa?
MKE WA LOWASSA ANAGAWA BAHASHA MCHANA KWEUPEEEE