Ziara ya Makamba imejaa propaganda tu

Ziara ya Makamba imejaa propaganda tu

Mike_

Senior Member
Joined
Jan 9, 2021
Posts
190
Reaction score
248
Waziri Makamba anaonekana akifanya ziara mikoa ya Kanda ya ziwa, akiwa na lengo la kutoa elimu ya nishati.

Lakini ukichunguza vizuri ziara hii ina agenda zaidi ya kinachofanyika.

Ukichunguza vizuri lazima utafahamu lengo la ziara hii ni kujitafutia umaarufu na kujisafisha katika mikoa inakofanyiwa ziara hiyo.

Ukweli ni kuwa huyu bwana na kundi lao linachukiwa sana katika maeneo ya kanda ya ziwa kutokana na rumours za kundi lao kuhusishwa na kifo cha mtoto wa ukanda huo.

Kwakua hawa mabwana ni watu wa timing, ziara hii inafanyika kama njia ya kujisafisha katika kanda hiyo, na reason kubwa ni the fact kwamba ukanda huo kuwa ni ukanda wa kura nyingi.

Ni ngumu kujua alie nyuma ya ziara hii ni nani, sababu Makamba anaonekana kugawa mitungi ya makampuni tofauti tofauti.
 
Vyovyote vile, tisi ifutilie mbali kizazi cha paka kwa manufaa mapana ya ardhi yetu, la, wahuni wako bize
 
Kipara hana jipya, yaani hiyo kazi haiwezi labda amtegemee mganga wake toka bumbuli
 
Waziri makamba anaonekana akifanya ziara mikoa ya Kanda ya ziwa, akiwa na lengo la kutoa elimu ya nishati.

Lakini ukichunguza vizuri ziara hii ina agenda zaidi ya kinachofanyika,

Ukichunguza vizuri lazima utafahamu lengo la ziara hii ni kujitafutia umaarufu na kujisafisha katika mikoa inakofanyiwa ziara hiyo

Ukweli ni kuwa huyu bwana na kundi lao linachukiwa sana katika maeneo ya kanda ya ziwa kutokana na rumours za kundi lao kuhusishwa na kifo cha mtoto wa ukanda huo.

Kwakua hawa mabwana ni watu wa timing, ziara hii inafanyika kama njia ya kujisafisha katika kanda hiyo, na reason kubwa ni the fact kwamba ukanda huo kuwa ni ukanda wa kura nyingi.

Ni ngumu kujua alie nyuma ya ziara hii ni nani, sababu Makamba anaonekana kugawa mitungi ya makampuni tofauti tofauti.
Wewe ni kaburu tu mwenye rangi nyeusi

" In jk nyerere voice"
 
Vyovyote vile, tisi ifutilie mbali kizazi cha paka kwa manufaa mapana ya ardhi yetu, la, wahuni wako bize
Hangaya alichemka kwa hili la nishati kumkabidhi mtoto wa.mlamba asali namba moja na ardhi kuikimbiza msoga. Hawa watu watatuuza mchana kweupe
 
Waziri Makamba anaonekana akifanya ziara mikoa ya Kanda ya ziwa, akiwa na lengo la kutoa elimu ya nishati.

Lakini ukichunguza vizuri ziara hii ina agenda zaidi ya kinachofanyika.

Ukichunguza vizuri lazima utafahamu lengo la ziara hii ni kujitafutia umaarufu na kujisafisha katika mikoa inakofanyiwa ziara hiyo.

Ukweli ni kuwa huyu bwana na kundi lao linachukiwa sana katika maeneo ya kanda ya ziwa kutokana na rumours za kundi lao kuhusishwa na kifo cha mtoto wa ukanda huo.

Kwakua hawa mabwana ni watu wa timing, ziara hii inafanyika kama njia ya kujisafisha katika kanda hiyo, na reason kubwa ni the fact kwamba ukanda huo kuwa ni ukanda wa kura nyingi.

Ni ngumu kujua alie nyuma ya ziara hii ni nani, sababu Makamba anaonekana kugawa mitungi ya makampuni tofauti tofauti.
Amewaambia kama chuki zimewajaa sana mumuue kuliko hizi vita za kitoto za midomoni.
 
Alposema tu "Chukueni mtu wenu mtuachie gesi yetu" baba mtu akafuata sumu Urrusi kuja kummaliza mwamba.

Yesu ni bwana
 
Ukimuona mbwa juu ya mti ujue kapandishwa hapo! Anawatumikia waliomuweka hapo a.k.a. wauza gas
 
Back
Top Bottom