expirience man
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 220
- 115
ITABAKI KWENYE NDOTO TU SEIF HATAKUWA RAIS MPAKA ANAPUMZIKA KWA AMANIMungu mbariki Rais wa Zanzibar Maalim Seif .
Mkuu experience man dunia inakuangalia , endelea kutu updates
Gogo lishakatwa unasubiriwa upepo tu lijiangukie .ITABAKI KWENYE NDOTO TU SEIF HATAKUWA RAIS MPAKA ANAPUMZIKA KWA AMANI
Hiyo ni kweliITABAKI KWENYE NDOTO TU SEIF HATAKUWA RAIS MPAKA ANAPUMZIKA KWA AMANI
Ni kweli tupuUrais wa Maalim Seif ulikuwa mwaka 2015 lakini tena huko mbele ni kama kwa Mh Lowassa huku Bara Urais kwake ulikuwa mwaka 2015 na si zaidi hapo.
Kilichobaki sasa hivi ni historia tu kwa hawa wawili Maalim Seif na Mh Lowassa
Najua comment hii itawagusa wengi lakini huo ndiyo ukweli na ukweli utabaki hivyo kwani ....kwa mwaka 2015 uwezekana wa hawa wawili Kuchukua nchi ulikuwa mkubwa sana na haitatokea tena.
Urais wa Maalim Seif ulikuwa mwaka 2015 lakini tena huko mbele ni kama kwa Mh Lowassa huku Bara Urais kwake ulikuwa mwaka 2015 na si zaidi hapo.
Kilichobaki sasa hivi ni historia tu kwa hawa wawili Maalim Seif na Mh Lowassa
Najua comment hii itawagusa wengi lakini huo ndiyo ukweli na ukweli utabaki hivyo kwani ....kwa mwaka 2015 uwezekana wa hawa wawili Kuchukua nchi ulikuwa mkubwa sana na haitatokea tena.
Labda Rais wa ZFA!!Raisi halali wa zanzibar
Wakati Koofia ya Maalim Seif ikipwaya na kuzama kichwani, Dr. Shein yeye azidi kuvimba mashavu (Just Curious observant eye)======
Maalim Seif: Mambo yetu mengi yamekuwa yakienda polepole kwa sababu ya kukosekana miradi ambayo ndiyo kiungo muhimu, tunakiamini chama, lazima aje mtu ambae ni muanminifu na mtiifu kwa chama. Huwezi kulinda maslahi ya chama, maamuzi ya vikao vya chini kuanzia kitaifa, wilaya na majimbo. Lazima uweze kuona wewe ni mtiifu na mtekelezaji, mratibu ni mtu ambae lazima awe na mahusiano mazuri na jamii hasa inayomzunguka.
Bila shaka ww utakuwa MpembaRaisi halali wa zanzibar