security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Watu ni wachache sana mpaka aibu
Ndugu mshana jrMwana diwani hizi nyomi zipo popote na wakati wote, hiyo ilipaswa iwe kazi ya upinzani! ccm kama chama tawala inatakiwa ifanye mengine zaidi ya hiyo mikutano ya HADAA, hasa kufanya overhaul kubwa serikalini na kwenye chama, kitu ambacho ni ndoto isiyowezekana
Uvundo umejaa serikalini na kwenye chama nyie badala ya kuusafisha mnauvundika kwa maguo ya mikutano ya hadhara iliyojaa hadaa, mnajichimbia kaburi kubwa niamini
Watu ni wachache sana mpaka aibu
Ziara zetu ni zaidi ya kufanya mikutano ya hadhara, ndiyo maana hatutumii chopa ingawa uwezo wa kufanya hivyo tunao!Ndugu,
Hoja zako haziwezi kusimama kwenye ukweli.
Kama maandishi huwezi kuyasoma, hata kuangalia picha nazo unataka msaada.
By the way, Sera ya CCM ni kutenda na siyo kujaza watu kwenye mikutano ili ijipime.
Wananchi wengi hawahitaji kuelezwa Sera na Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa sababu wanaziishi.
Tunawaachie hiyo sera kwa sababu CCM ilishajipima kuanzia mwaka 1995 kwenye chaguzi kuu na ndogo.
Hoja ya kujipima kama mnakubalika inawafaa kwa sababu hamna uhakika kama mnakubalika na mtashinda katika chaguzi.
Ndugu mshana jr
Ninadhani unajenga hoja bila kuelewa msingi wa hoja unayoijengea. Kwa lugha nyingine wanasema, unadandia basi kwa mbele.
Bandiko langu limelileta baada ya huyu mdau kusema hivyi;
Ninakubaliana kiduchu na hoja yako kwa sababu pia mikutano ni sehemu ya kukutana na wananchi nilishawahi kukisema katika thread hii;
Nilisema hivi;
Ziara zetu ni zaidi ya kufanya mikutano ya hadhara, ndiyo maana hatutumii chopa ingawa uwezo wa kufanya hivyo tunao!
And U need to be refered to MILEMBE in Dodoma.This kinana needs to be refered to Apollo in India.
Mazungumzo yako yoooote yanaonyesha haujui kazi ya siasa, wala hujui tafsir na maana ya uimara wa chama cha siasa.Bado nishauri tu kwamba kuna mengi ambayo ccm ikiyafanya yatakuwa na positive impact kubwa sana kuliko hiyo mikutano ya hadhara na picha kama hiziView attachment 235828View attachment 235829View attachment 235830hakuna umakini hapa!
Wananchi wanakusanyika kwa wingi ili kuangalia vituko, wanakuwa na furaha ya muda katikati la lindi la ufukara wa kutisha
ccm ilishajenga chama kimekomaa hakihitaji hizi ziara kwasasa na propaganda tasa kuna mambo yanatakiwa yafanyike kwa vitendo,
-matamko yameshatosha
-mabandiko yameshatosha
-maonyo na makemeo pia
Kama chama tawala kinatakiwa kuchukua hatua sasa kuanzia wakati ule wa kuvua gamba mpaka escrow
Mazungumzo yako yoooote yanaonyesha haujui kazi ya siasa, wala hujui tafsir na maana ya uimara wa chama cha siasa.
Mhhh we umeshashindikana, hata haujielewi, ngoja nijiandae kufanya yangu asubuhi hii niachane na haya maujinga.Mwana diwani hizi nyomi zipo popote na wakati wote, hiyo ilipaswa iwe kazi ya upinzani! ccm kama chama tawala inatakiwa ifanye mengine zaidi ya hiyo mikutano ya HADAA, hasa kufanya overhaul kubwa serikalini na kwenye chama, kitu ambacho ni ndoto isiyowezekana
Uvundo umejaa serikalini na kwenye chama nyie badala ya kuusafisha mnauvundika kwa maguo ya mikutano ya hadhara iliyojaa hadaa, mnajichimbia kaburi kubwa niamini
Mhhh we umeshashindikana, hata haujielewi, ngoja nijiandae kufanya yangu asubuhi hii niachane na haya maujinga.
Kweli wewe dada hauna aibu ulivyokuwa chadema ulikuwa unatukana ccm kweli unadhani wameisha sahau?wanakuona kwa jicho la tatu huku wakilipiza kwako mf wanakutongoza wote na unawakubali kisha wanakuona kama mdudu.ndio mahana juzi unamlazimisha kinana aongee na mkuu wa kaya ili upewe ukuu wa wilaya.sahau hilo.wewe ni ndumila kuwili haujui ni nini unafanya.be carefully na siasa zako.Mazungumzo yako yoooote yanaonyesha haujui kazi ya siasa, wala hujui tafsir na maana ya uimara wa chama cha siasa.
Mazungumzo yako yoooote yanaonyesha haujui kazi ya siasa, wala hujui tafsir na maana ya uimara wa chama cha siasa.
And U need to be refered to MILEMBE in Dodoma.