Ziara ya ghafla ya mgombea edward lowasa

Hivi kusema lowassa anaumwa ndio kumshambulia?
 
Hivi unaposema kuwa kikwete kuingia madarakani aliachiwa nini, unaelewa unachoongea?! Unajua hali ya uchumi ilikuaje wakati huo? unajua deni la taifa lilikuaje wakati huo? Acha ushabiki mandazi ndugu yangu
 
Ukuaji was deni la taifa unaendana na kusambaa kwa miundombinu ya nchi
 
mbona Lowasa mwenyewe hawashambulii hawa watu yeye yukokimiya tuu????kila kukicha hapa jukwaani lazima zije story zakijingajinga nakitoto kama sio zawale wanawake mashankupe ambao kuanzia asubuhi mpaka jioni yeye nakanga moja kifuani anazunguka nyumba zawenzie kupiga majungu,kasahau hata kuswaki,chai cha mchana anakula kwnye ntyumba anazopeleka umbea...mtakesha mwaka huu nakama msipo kufa nyie kwa visukari na bp na mzee wa monduli mkamuacha anadunda hiyo 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…