OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
yanni mkuu hawa majamaa wanakufa this time na bado kipenga kikipulizwa mishe mishe za Lwaiganan nakwambia watahama nchi..... kundi la Membe always are not creative katika siasa za Tz, hata joka la mdimu mwenyewe bado ni mchanga kabisa katika scientific politics ndio mana kwake yeye kuchafua watu ndio anaona ni siasa.. Ila nakwambia ikifika Monduli day tarehe 1/1/2015 watapata pressure hawa watu watakapoona Tanzania yote kuhamia Mondulimuamkapo,mtembeapo pia mlalapo Edward ngoyai lowassa mnalo mwaka wenu huu na jamaa huyo ikulu.
huyu mtu anaandamwa........akipata urais sijui jf itasalimika....
Kama uchaguzi wa ubunge 2010 Membe jimboni kwake alishinda kwa ushindi mwembamba wa 54% dhidi ya mgombea wa upinzani (aliepata 46% tena kwa kufanya kampeni ya chini ya mwezi na ni fukara wa kipato) aliemuwekea pingamizi mahakamani na pingamizi lake kutupwa baada ya kutaka kujitengenezea mazingira ya kupita bila kupingwa.Na katika ujumbe wa kamati kuu kuambulia nafasi ya sita na kuachwa nyuma na vijana wadogo kwenye medani ya siasa kama January Makamba,komredi Mwigulu Nchemba,Membe asitegemee chochote katika urais kwani sio size yake.
Cha ajabu katibu tawala wa Mkoa akisaidiwa na Mnec wamefanikisha ziara mkoani humo, pia mkuu Wa wilaya musoma mjini na maandishi nguli wa itv wamepewa jukumu Hilo
Kama hicho ni kigezo sidhani kama Mrema angekuwa Mbunge.
Mods humu ndani naona sikuhzi nao wanamgombea,habri za majungu zinaletwa wao nao wanashangilia
Mkuu, nafkiri umemaliza kila kitu kaka.....kwenye NEC na hata hiyo nafasi ya sita aliibiwa kura kuondoa aibu ya familia ya ikulu, na aliyekuja na hiyo hoja ni Mhagama, Membe alikuwa mtu wa 17... naomba nikiri wazi kuwa nilikuwepo kwenye chumba cha kuhesabia kura.... Na hakuna kitu najutia kama kuacha ule upuzi, nafkiri ningepaza sauti sana kwa ndani na nje ili wananchi (wajumbe) waelewe kilichotokea.
Sijawahi kushuhudia Lowasa ameanguka jukwaani au akisaidiwa na glucose kupata nguvu ya kusimama na kuongea je anaeanguka majukwaani ba huyu Lowasa ni nani mgonjwa na aliyedhoofu?
Tuache kuxusha.mimi nawapinga wote wanaomchafua Lowassa lakini pia nawadharau sana wanaombeza JK kuwa amefeli.ninyi mnaosema JK amefeli hamjui lolote Kikwete alipoingia madarakani aliachiwa nini na.ametufikisha wapi tuache majungu..JK amefanya kazi kubwa sana..pia naomba nikiri simuungi kono Membe lakini katika Unec wa kumi bora hakuiba kura.alipata kura halali na kuwa namba sita aiasa za uongo haziongezi nguvu kundi lolotem
We mwenyewe hapo ulipo uko hoi!
Picha za kupandishwa na kushushwa kwenye Ndege.?
Mkuu, nafkiri umemaliza kila kitu kaka.....kwenye NEC na hata hiyo nafasi ya sita aliibiwa kura kuondoa aibu ya familia ya ikulu, na aliyekuja na hiyo hoja ni Mhagama, Membe alikuwa mtu wa 17... naomba nikiri wazi kuwa nilikuwepo kwenye chumba cha kuhesabia kura.... Na hakuna kitu najutia kama kuacha ule upuzi, nafkiri ningepaza sauti sana kwa ndani na nje ili wananchi (wajumbe) waelewe kilichotokea.
Sawa tumesikia
Acha kuandika uongo.ccm hakuna wizi Wa kula
Ni kweli mkuu hakuna uwizi wa kula ila kuna wa kura, uko sawa
WAMA at Work,mwaka huu mtachoka na lowassa,nao a membe anaid kujidhalilisha
Bora rais awe mama migiro maana wote wanaotajwa ni wezi watupu