Activist93
Member
- Jun 30, 2019
- 19
- 13
Ni furaha kubwa kwa watanzania kuona Rais wetu akidumisha Upendo,Amani na Mshikamano kwa nchi za afrika mashariki.
Kikubwa ni kujadili Kuhusu mipaka ya ziwa victoria pamoja na ushirikiano katika biashara mbalimbali za kukuza uchumi wa nchi hiz mbili.