The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,890
Ni siku nyingi zimepita tangu nimsikie mzee Pinda akitoa neno, nadhani ni wakati muafaka sasa aje na busara zake ashauri baadhi ya mambo yanayoleta kizunguzungu kama vile sukari, bunge live, Naibu Spika, UKAWA na mikutano ya hadhara, bajeti hewa, wanafunzi waliofukuzwa UDOM, nk.
Watu husema utu uzima dawa.
Watu husema utu uzima dawa.