Shirikisho la soka la Zanzibar (ZFA) limelituhumu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa linaisahau Zanzibar na wanafanya mambo yao Kimya kimya.
Malinzi na viongozi wenzake wanazipiga hela zote za kutoka fifa bila kuwajali wenzao wa zfa na ndio maana hawaishi kulalama!!!hii nchi jirani shida sana au wanataka madrid nayo iende kule
Malinzi na viongozi wenzake wanazipiga hela zote za kutoka fifa bila kuwajali wenzao wa zfa na ndio maana hawaishi kulalama!!!
Kumbe kule Dodoma kunatengenezwa Katiba ya Zanzibar?tatzo hao wazanzibar hawajitambui wakat sie bara tunawasaidia kutengeneza katiba wao wanatukanana
Kumbe kule Dodoma kunatengenezwa Katiba ya Zanzibar?
Kujitoa ufahamu ni kutojibu hoja : Katiba inayotungwa Dodoma ni ya Zanzibar?kwan hilo halipo katika katiba ya muungano au ndo kujitoa ufahamu. unafikiri wakikubali kupitisha serikali mbili wataendelea kulia hivyo hivyo