Pro Mwl Senior Member Joined Jul 19, 2014 Posts 197 Reaction score 37 Apr 2, 2016 #21 Msaada note2 n7100 null/null imei unkown baseband
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,731 Apr 2, 2016 #22 Hiyo zero launcher ina maana na wewe unataka kupeleka chombo angani?
Pro Mwl Senior Member Joined Jul 19, 2014 Posts 197 Reaction score 37 Aug 26, 2016 #23 Riccristin said: Jaribu kutumia hii module Tinted Translucent Status Bar Click to expand... Mkuu note3 nikipiga cm ina screen off. Nifanyeje?
Riccristin said: Jaribu kutumia hii module Tinted Translucent Status Bar Click to expand... Mkuu note3 nikipiga cm ina screen off. Nifanyeje?
Pro Mwl Senior Member Joined Jul 19, 2014 Posts 197 Reaction score 37 Aug 26, 2016 #24 Wadau note3 nikipiga cm inascreen off Nifanyeje. Msaada please
ipatama JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 348 Reaction score 228 Aug 26, 2016 #25 Chief-Mkwawa said: probably simu yako ina nova launcher, ui ya tecno ipo kama hio nova. hebu test materianova download hapa then test Download Page ~ APK MANIA Full hope unajua ku unzip Click to expand... Habari chief? Nini kinatokea kwenye simu niliyo root alafu nikaja nikaifanyie factory reset? Ndio nakua nime un-root au?
Chief-Mkwawa said: probably simu yako ina nova launcher, ui ya tecno ipo kama hio nova. hebu test materianova download hapa then test Download Page ~ APK MANIA Full hope unajua ku unzip Click to expand... Habari chief? Nini kinatokea kwenye simu niliyo root alafu nikaja nikaifanyie factory reset? Ndio nakua nime un-root au?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,073 Reaction score 43,520 Aug 26, 2016 #26 Pro Mwl said: Wadau note3 nikipiga cm inascreen off Nifanyeje. Msaada please Click to expand... protector imeziba sensor za mbele
Pro Mwl said: Wadau note3 nikipiga cm inascreen off Nifanyeje. Msaada please Click to expand... protector imeziba sensor za mbele
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,073 Reaction score 43,520 Aug 26, 2016 #27 ipatama said: Habari chief? Nini kinatokea kwenye simu niliyo root alafu nikaja nikaifanyie factory reset? Ndio nakua nime un-root au? Click to expand... factory reset haiondoi root mpaka uflash firmware ndio unaondoa root
ipatama said: Habari chief? Nini kinatokea kwenye simu niliyo root alafu nikaja nikaifanyie factory reset? Ndio nakua nime un-root au? Click to expand... factory reset haiondoi root mpaka uflash firmware ndio unaondoa root
ipatama JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 348 Reaction score 228 Aug 26, 2016 #28 Chief-Mkwawa said: factory reset haiondoi root mpaka uflash firmware ndio unaondoa root Click to expand... Ahsante chief, mi nilitumia kingo root vipi niki unstall?
Chief-Mkwawa said: factory reset haiondoi root mpaka uflash firmware ndio unaondoa root Click to expand... Ahsante chief, mi nilitumia kingo root vipi niki unstall?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,073 Reaction score 43,520 Aug 26, 2016 #29 ipatama said: Ahsante chief, mi nilitumia kingo root vipi niki unstall? Click to expand... hata uki un install haiondoki root
ipatama said: Ahsante chief, mi nilitumia kingo root vipi niki unstall? Click to expand... hata uki un install haiondoki root
Pro Mwl Senior Member Joined Jul 19, 2014 Posts 197 Reaction score 37 Aug 27, 2016 #30 Chief-Mkwawa said: protector imeziba sensor za mbele Click to expand... Protector imesetiwa vzr Chief. Au note3 ukiweka protector sensor inazibwa? Ila nitaitoa hii protector then ntaleta mrejesho hapa. Thnx Chief
Chief-Mkwawa said: protector imeziba sensor za mbele Click to expand... Protector imesetiwa vzr Chief. Au note3 ukiweka protector sensor inazibwa? Ila nitaitoa hii protector then ntaleta mrejesho hapa. Thnx Chief
Pro Mwl Senior Member Joined Jul 19, 2014 Posts 197 Reaction score 37 Aug 27, 2016 #31 Pro Mwl said: Protector imesetiwa vzr Chief. Au note3 ukiweka protector sensor inazibwa? Ila nitaitoa hii protector then ntaleta mrejesho hapa. Thnx Chief Click to expand... Nimetoa protector Bado it keep vibrating with the green screen. Sensor is not working
Pro Mwl said: Protector imesetiwa vzr Chief. Au note3 ukiweka protector sensor inazibwa? Ila nitaitoa hii protector then ntaleta mrejesho hapa. Thnx Chief Click to expand... Nimetoa protector Bado it keep vibrating with the green screen. Sensor is not working
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,073 Reaction score 43,520 Aug 27, 2016 #32 Pro Mwl said: Nimetoa protector Bado it keep vibrating with the green screen. Sensor is not working Click to expand... sijakuelewa hilo ni tatizo jipya?
Pro Mwl said: Nimetoa protector Bado it keep vibrating with the green screen. Sensor is not working Click to expand... sijakuelewa hilo ni tatizo jipya?
Pro Mwl Senior Member Joined Jul 19, 2014 Posts 197 Reaction score 37 Aug 27, 2016 #33 Yaan tatizo ni lilelile. Ukipiga cm it screen off. Sasa niki dial *#0*# ili kutest sensor ina vibrate kuonyesha sensor haifanyi kazi.
Yaan tatizo ni lilelile. Ukipiga cm it screen off. Sasa niki dial *#0*# ili kutest sensor ina vibrate kuonyesha sensor haifanyi kazi.