Zero IQ Question and Answer thread

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Ukitaka kujua chochote kuhusu Mr Zero IQ bila shaka uliza hapa utajibiwa majibu akiwa mubashara kabisa .


Cc Zero iQ
 
Zero IQ umeparamia wanawake wa watu wangapi.. Na je umetolewa marinda kutokana na kuparamia wanawake wa watu..?
 
Niko dodoma mkuu
Timu kibongo bongo ni Yanga
Hispania __Real madrid
England___Man U
Italia__Juventus
Germany__Bayern munich
Mi na wewe hapo kwenye team ya Hispania tuko pamoja mkuu. . . . Sasa acha nikuulize swali langu,

Swali langu;

Kama ukipewa siku moja nzima kujumuika na JF Member mmoja wa kiume & mmoja wa wakike. Kina nani na nani ungependa kujumuika nao???? Na kwanini ungetamani kujumuika na hao???? (Mashara pembeni)[emoji53] [emoji18]
 
Hakika sina chaguo mkuu member wote ni sawa kwangu hakuna aliye juu kumzidi mwingine ila hakika napenda sana Hekima za ndugu yangu Mshanajr pamoja na kipenzi changu yna2
 
Ukisikia neno CCM unajisikiaje? Na ukipata nafasi ya kukutana na kiongozi wa juu wa nchi utamwambia nini kwa manufaa ya wengi?
 
Ukisikia nene CCM unajisikiaje? Na ukipata nafasi ya kukutana na kiongozi wa juu wa nchi utamwambia nini kwa manufaa ya wengi?
Ubaya siyo neno CCM ila ni yule anaeimiliki CCM kwa sasa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…