Zero IQ Nipe hii mbinu ya kula mademu Wakali

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
237
323
Hivi kwann mademu wakali siku hizi ni ngumu Sana kuwapata kwa baadhi ya sisi vijana tusio na hela, nimekuwa nikisoma nyuzi za member mmoja wa humu anajiita Zero IQ, Huyu jamaa anasemaga anawala mademu wakali kila siku jap ni muuza chipsi tu Ila anajipigia watoto wazuri daily, kaka zero IQ mimi mdogo ako natamani Sana Kama una Dawa hau unipe na Mimi mbinu unazotumia kuwala maduu wa High classic

Nawakilisha#
 
Mzee mwinyi mlimpa miaka 10

Mzee makapa(RIP) naye miaka 10

Mzee Kikwete naye mlimpa miaka 10

Mimi mnataka kininyima mingine mitano!!

ETI NASEMA UONGO NDUGU ZANGU
 
Hivi kwann mademu wakali siku hizi ni ngumu Sana kuwapata kwa baadhi ya sisi vijana tusio na hela, nimekuwa nikisoma nyuzi za member mmoja wa humu anajiita Zero IQ, Huyu jamaa anasemaga anawala mademu wakali kila siku jap ni muuza chipsi tu Ila anajipigia watoto wazuri daily, kaka zero IQ mimi mdogo ako natamani Sana Kama una Dawa hau unipe na Mimi mbinu unazotumia kuwala maduu wa High classic

Nawakilisha#
Tafuta ela
 
Back
Top Bottom