Zembwela awaponda UKAWA

Tunapoteza muda kujadili ma social scums,huyu bwana si ni mchekeshaji tu?alianza zamani sana na sidhani kama hata shule aliwahi kwenda,hebu tujadili vitu muhimu tuachane na watu wa aina hii.
 
ZEMBWELA...hii sio Tanzania ya zamani...usiwasaidie watu kuamua na kufanya maamuzi!...leo umeharibu...kazi yako ni kutoa taarifa na kuwa neutral...wewe unakuwa mshabiki...huna maana!
 
Kamanda anadhani atapata huruma ya viti maalum 2015 mtangazaji unakuwaje kada wa uccm kwanini kama unapenda siasa njoo jukwaani tupambane mshamba wa mwisho aache kufikiri kwa kutumia masaburi atumie akili
 
Zembwela nae ni mchambuzi!! Tehe tehe,,jamaa ni mbunifu kishenzi.
 
Hata kipindi cha uswazi huyu jamaa kakiharibu.Ni mjuaji,mbishi,umjini mwingi na majisifu kibao.Kama vile hajiandai,huwezi jua lengo la kipindi/mada husika.Anaparamia kila anachokutana nacho,achilia mbali ukosefu wa staha.
 
hivi zembwela ni mwandishi wa habari? mi nilijua ni mchekeshaji kama kina masanja. amesomea wapi uandishi halafu dah, hadi namwoneaga huruma nikimwangalia anavyotangaza kipindi chake cha uswazi. hivi musa alienda wapi kipindi chake kimechakachuliwa?
 

Yule naye elimu ndogo inachangia anafikiri kuongea sana ndio utangazaji kumbe anajichoresha tu na kibaya hajui hata kusoma mazingira ipo siku atapata aibu ya mwaka.
 
Tatizo la ukawa mtu ambaye anawapa ukweli huwa hawampendi,mlimchukia Zitto kabwe kisa kuhoji ruzuku sasa sembuse zembwela,ukawa ni umoja ws mataira flani wasio na mwelekeo wowote wa maisha,wanacho waza wao ni kuandamana na kila aina ya fujo,sasa wewe kilicho kuuzi zembwela kusema watu wasiandamane?hivi kuna siku hata moja hao wafuasi wenu wakipewa virema huko kwenye maandamano msha zisaidia familia zao,acheni upuuzi wenu,by the way zembwela katumia haki yake ya kikatiba kuongea maoni yake,sasa watu kama nyinyi tukiwapa nchi mtu si ndio mtaangamiza watu wote ambao hawawasifii huo ujinga wenu.Big up zembwela and keep it up.
 

!
!
anatafuta fursa....dawa yake ni kuwatumia email eatv and radio na kulalamika. Katika service industry kama radio malalamiko huwa yanafanyiwa kazi sana hasa katika vituo binafsi ambavyo vinalenga kuzidisha ubora.
 
Upungufu huu nimeusikia redio kadhaa. Huwezi kuwa na analytical mind bila kwenda shule ndefu mfano Fareed Zacharia CNN jumapili analysis zake za uchumi na siasa duniani ni darasa tosha. BBC pia DW pia VOA pia na hata South Africa pia ni bora. Redio zetu kwanza zime base mambo ya kiudaku zaidi. Utafiti mwepesi usio na source ya uhakika. Na upande mwingine jicho kandamizi la serikali ya ccm. Heri usome magazeti jasiri kama Mawio angalau utapata nuru. Zembwela nimemsikia kitambo na ngonjera zake za pro ccm nikampuza kama opportunist kama walivyo wengi katika redio za aina hiyo. Namshauri asome nyakati wimbi la mabadiliko laja kwa kasi vinginevyo atachukiwa kama 6!
 
Masanito kana ndio uwezo wake asigange njaa na tafiti za kisayansi awachie political and social analysts tasnia zao.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…