baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 316
watangazaji wengi siku hizi product kama za kona baa....unajichukulia tu ukiwa na cha kumlisha!Binafsi nilikua na penda sana kumsikiliza zembwela wa est africa radio na kuna watu walikua wananicheka sanaa,ila leo ktk kipindi chake cha saa tatu mpaka 7 nimeshaangaa uginga alonao ktk kichwa chake na kamfundisha na huyo dada anaye kuaga nae yaan mjinga ni mjinga tu,zembwela huwezi iokoa ccm kwa hilo na utajikosea heshima na redio yako itakosa mashabiki kama zilokua nyingine.sms za maana huzisomi unatunga zako tu unajipendekeza unadhani utapewa ubunge! Et ukawa waandamane wenyewe ww unaogopa mabomu so nani kakwambia mapigano yakianza yatachagua huyu ni zembwela tusimshambulia zembwela shtuka ucitumike sanaa et una chama kweliii! Sasa upinzani ucipo kuwepo unaona itakua poa? Ndugu ninahasira leo umeniudhi sanaaaa weka wazi kua ww ni ccm full stop
binafsi nilikua napenda sana kumsikiliza zembwela wa east africa radio na kuna watu walikua wananicheka sanaa,ila leo katika kipindi chake cha saa tatu mpaka 7 nimeshaangaa ujinga alionao katika kichwa chake na kamfundisha na huyo dada anayekuaga nae yaani mjinga ni mjinga tu, zembwela huwezi iokoa ccm kwa hilo na utajikosea heshima na radio yako itakosa mashabiki kama zilivyokuwa nyingine.
Sms za maana huzisomi unatunga zako tu unajipendekeza unadhani utapewa ubunge.
Eti ukawa waandamane wenyewe wewe unaogopa mabomu so nani kakwambia mapigano yakianza yatachagua huyu ni zembwela tusimshambulie. Zembwela shtuka usitumike sanaa eti una chama kweliii!
Sasa upinzani usipo kuwepo unaona itakuwa poa?
Ndugu ninahasira leo umeniudhi sana weka wazi kuwa wewe ni ccm full stop.
Binafsi nilikua napenda sana kumsikiliza zembwela wa East Africa Radio na kuna watu walikua wananicheka sanaa,ila leo katika kipindi chake cha saa tatu mpaka 7 nimeshaangaa ujinga alionao katika kichwa chake na kamfundisha na huyo dada anayekuaga nae yaani mjinga ni mjinga tu, zembwela huwezi iokoa CCM kwa hilo na utajikosea heshima na Radio yako itakosa mashabiki kama zilivyokuwa nyingine.
SMS za maana huzisomi unatunga zako tu unajipendekeza unadhani utapewa ubunge.
Eti UKAWA waandamane wenyewe wewe unaogopa mabomu so nani kakwambia mapigano yakianza yatachagua huyu ni zembwela tusimshambulie. Zembwela shtuka usitumike sanaa eti una chama kweliii!
Sasa upinzani usipo kuwepo unaona itakuwa poa?
Ndugu ninahasira leo umeniudhi sana weka wazi kuwa wewe ni CCM full stop.
nakubaliana na zembwela, ukawa wakajibu hoja bungeni sio kukimbilia nje ya bunge

mkuu mbona mtawachukia wengi sana, watanzania karibia wote wamegundua UKAWA ni wazushi