ZELENSKY: Vita na Moscow vilianzia Crimea na vitaishia Crimea

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
990
3,488
Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky amesema kuwa mzozo kati ya nchi yake na Urusi hautamalizika hadi pale rasi ya Crimea katika Bahari Nyeusi, ambayo ilikwapuliwa na Moscow, itakapokombolewa.

Katika hotuba yake ya jana usiku, Zelensky amesema Crimea ni Ukraine, na Ukraine haitoiacha ibakie mikononi mwa Urusi.

Crimea imekuwa chini ya udhibiti wa Moscow tangu Urusi ilipoinyakua rasi hiyo mwaka wa 2014.
...................

source: Dw, Reuter

Je itawezekana??
Kwa hali ilivyo siku za usoni naiona Urusi ikiingia makubaliano na Ukraine kusitisha mashambulizi Crimea. Kwa ahadi ya Moscow kuiachia Donbas.

Kupanda mchongoma Kushuka ndio Ngoma.
 
Hakuna cha makubaliano mrusi Lugha anayoelewa ni mtutu wa bunduki tu

Ukraine go ahead na mitutu ya Bunduki Lugha anayoielewa mrusi mshambulieni barabara hadi Putin aondoke au kwa kuuawa au kutekwa au kupinduliwa
 
Zele ni comedian kama lile lichekeshaji la batman. Joker, linachekesha ila lina madhara yake.
qjpwjy.gif
jack-nicholson-joker1989.gif
 
Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky amesema kuwa mzozo kati ya nchi yake na Urusi hautamalizika hadi pale rasi ya Crimea katika Bahari Nyeusi, ambayo ilikwapuliwa na Moscow, itakapokombolewa.

Katika hotuba yake ya jana usiku, Zelensky amesema Crimea ni Ukraine, na Ukraine haitoiacha ibakie mikononi mwa Urusi.

Crimea imekuwa chini ya udhibiti wa Moscow tangu Urusi ilipoinyakua rasi hiyo mwaka wa 2014.
...................

source: Dw, Reuter

Je itawezekana??
Kwa hali ilivyo siku za usoni naiona Urusi ikiingia makubaliano na Ukraine kusitisha mashambulizi Crimea. Kwa ahadi ya Moscow kuiachia Donbas.

Kupanda mchongoma Kushuka ndio Ngoma.
Mimi kama ningekuwa Putin ningemjibu. Vita yetu na Ukraine itamalizika kwa kumkamata Zelensky na kumpeleka kwao Israel
 
Mrusi kwa sasa anabwekewa bwekewa tu na kila mbwa

Basikia US wamewapa Ukraine makombora ya kulipulia radar sijui kipi kitafuta kama ma s-400 & ma s-300 yatakapolipuliwa
Hayo makombora ni HARM kama hili kubwa hapa kwenye picha, hilo dogo ni Sidewinder
20220807_191127.jpg

HARM ni radar homing missile, kabla Warusi hawajaona mabaki yake hawakujua kama Ukraine inayo na hayakuwa yametangazwa. Hayatatolewa muda mrefu na inawezekana sio mengi, bado pia yanataka pylons nzito zaidi ambazo ndege za Ukraine hazina labda kwa chache sana zenye modifications
 
Mimi kama ningekuwa Putin ningemjibu. Vita yetu na Ukraine itamalizika kwa kumkamata Zelensky na kumpeleka kwao Israel
Sio rahisi kukamata Raisi myahudi

Ndio maana wayahudi dunia nzima wanamsaidia Ukraine
Mrusi kwa sasa anabwekewa bwekewa tu na kila mbwa

Basikia US wamewapa Ukraine makombora ya kulipulia radar sijui kipi kitafuta kama ma s-400 & ma s-300 yatakapolipuliwa
Mungu awabariki sana wamarekani kwa kuwasaidia wayahudi wa Ukraine dhidi ya Goliathi Putin
 
Hayo makombora ni HARM kama hili kubwa hapa kwenye picha, hilo dogo ni SidewinderView attachment 2320199
HARM ni radar homing missile, kabla Warusi hawajaona mabaki yake hawakujua kama Ukraine inayo na hayakuwa yametangazwa. Hayatatolewa muda mrefu na inawezekana sio mengi, bado pia yanataka pylons nzito zaidi ambazo ndege za Ukraine hazina labda kwa chache sana zenye modifications
Mkuu uwe unalainisha lugha tukuelewe wote daah, unaongea kitaamu mno hadi tunapoteana
 
Hayo makombora ni HARM kama hili kubwa hapa kwenye picha, hilo dogo ni SidewinderView attachment 2320199
HARM ni radar homing missile, kabla Warusi hawajaona mabaki yake hawakujua kama Ukraine inayo na hayakuwa yametangazwa. Hayatatolewa muda mrefu na inawezekana sio mengi, bado pia yanataka pylons nzito zaidi ambazo ndege za Ukraine hazina labda kwa chache sana zenye modifications
Nahisi US itakua kapeleka stock ya zamani maana sasa hivi wananunua mapya AGM-88 ER
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom