Zelensky, Sorry you are in the wrong company

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
14,871
23,199
Volodymir Zelensky is in bad company, very bad company!

He thinks he is dating the USA, the American people.

In fact he is in bed with the CIA, the American Military Industrial complex and all the bad guys.

The baddies, who were in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Lyibia and all, are at it agsin.

They are feeding the military conflict in Ukraine, and Biden has been baptised to pay for it.

When their pockets are full they will just cut and run, as they always do.

They have been doing this over and over!

The Ukranians dont have to pay nothin now, not just yet.

But pay with their lives, thats" guaranteed.

By the time Volodymyr realises the war in Ukraine is not comedy, the bad guys will be at his throat.

Bad company indeed.
 
Screenshot_20230530-170033.jpg
Screenshot_20230530-165743.jpg
 
Volodymir Zelensky is in bad company, very bad company!

He thinks he is dating the USA, the American people.

In fact he is in bed with the CIA, the American Military Industrial complex and all the bad guys.

The bsddies who eere in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Lyibia and all.

They are feeding the military conflict in Ukraine, and Biden has been baptised to pay for it.

When their pockets are full they will just cut and run.

They have been doing this over and over!

The Ukranians dont have to pay nothin now, not just yet.

But pay with their lives, thats guaranteed.

By the time Volodymyr realises the war in Ukrsine is not comedy, the bad guys will be at his throat.

Bad company indeed.
Mchawi lugha

Lkn mtoa mada yupo sahih
 
Volodymir Zelensky is in bad company, very bad company!

He thinks he is dating the USA, the American people.

In fact he is in bed with the CIA, the American Military Industrial complex and all the bad guys.

The baddies, who were in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Lyibia and all, are at it agsin.

They are feeding the military conflict in Ukraine, and Biden has been baptised to pay for it.

When their pockets are full they will just cut and run, as they always do.

They have been doing this over and over!

The Ukranians dont have to pay nothin now, not just yet.

But pay with their lives, thats" guaranteed.

By the time Volodymyr realises the war in Ukraine is not comedy, the bad guys will be at his throat.

Bad company indeed.
It is difficult for the hard skull to understand at this moment,let the time speak by itself 🤔
 
Hatushabikii hii vita lakini the Comedian, Zelinsky, inabidi akubali yaishe
No retreat no surrender Zelesky ashikilie hapo hapo, akiukubali huo uppuzi wa Putin keshokutwa ataitaka Kiev na Ukraine yote, aliichukua Crimea watu wakatulia na sasa hivi anataka mashariki yote ya Ukraine iwe ndani ya Urusi, ni sawa Ukraine wanachapika maana Urusi ni taifa kubwa kiuchumi na kijeshi ila na wao wanakipata Cha mtemakuni na hata kama watashinda basi hatorudia kufanya tena huo ujinga kwa majiran zake.

Hata Nyerere angecheka na Idd Amini Kagera na mikoa mingine ya jirani sasa hivi ingekuwa sehemu ya Uganda.
 
Mkuu historia ya sehemu hizo imekjkaa mbali sana.
Kiini cha hii conflict inaelekea hukijui kabisa.
 
Naomba utuelezee.
Ngoja nikupe za ujumla.
USSR ilikuwa nchi kubwa ya muungano wa nchi za kisoviet.
Katika nchi hizo moja wapo ilikuwemo Ukraine.

Miaka ya 80 uchumi wa USSR ulianza kuwa mbaya na muungano ulitetereka.

Kiongozi wa mwisho USSR , Mikhail Gorbachov aliwa shawishi nchi nyingine zijitegemee kuliko kuendeleza uchumi wa kijamaa.
Hilo nafikri ilikuwa 1989.
Marekani na nchi za magharibi zilifurahi sana tukio hilo maana kuvunjika kwa USSR kulikuwepo na mkono wao kwa mbali.

Uusi, Russia bado nayo ilikuwa na nguvu na mwaka 2014 ikakubaliana na NATO, chombo cha kijeshi cha nchi za magharibi, kuwa si vyema NATO ikazikaribsha nhi zilizokuwa za kisoviet kuingia NATO, kwa ajili ya maslahi na usalama wa Urusi.

NATO iliheshimu makubaliano hayo mwanzini, lakini baadaye ikaamua kuwaingiza Poland, Hungary licha ya malalamiko ya Urusi.
Katika Ukraine alikuwepo rais Yokunovych ambaye aliunga mkono msimamo wa Urusi.

CIA na nchi za NATO zilifanya mapinduzi ya chini kwa chini kumuondoa Yokunovych na kumuingiza kibaraka wao Zelensky.

Zelensky akawekewa msimamo, kuwa Ukraine itajiunga NATO.

Urusi ika panic.
Wakaweka msimamo kuwa nchi jirani ya Ukraine ikijiunga NATO ataiangamiza.
Zelensky akapinga kuwa hawezi kuingiliwa uamuzi wa nchi yake kujiunga NATO.

Urusi ikasea NATO ni adui wake hivyo ukijiunga na adui, nawe ni adui.
Zelensky akapinga hilo kwa msaada wa NATO.
Hivyo basi Urusi ikaamua kuanza kumpiga adui wa karibu, Ukraine ambaye ni mdogo wake.
NDICHO KINACHOENDELEA SASA!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom