Mtu anapigwa chumbani kwake safi kabisa Zelesky!! hakika ww ni mwanaume wa kweli, kwa Hali ilipofikia ilikuwa hakuna namna maana kama kupigwa Ukraine keshapigwa makombora karibu ya aina yote sidhani kama Kuna silaha ambayo Mrusi hajaitumia Ukraine labda Nuclear tu ni muda muafaka na yy Aanzee kupokea kichapo ndani mwake maana Ukraine haina Cha kupoteza kwasasa.My take!
Je, Zelensky anawaza nini mpaka kuamua kuanza kushambulia Urus wakati anajua kabisa Putin alishaonya hataki Urusi ishambuliwe?
Putin na Zelensky fanyeni mazungumzo hatutaki vita vikubwa.
Habari kamili.
Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky ameonya kwamba vita vinakuja nchini Urusi baada ya shambulio la mapema la ndege zisizo na rubani kwenye mji mkuu wa Moscow.
Bw Zelensky alisema mashambulizi dhidi ya eneo la Urusi ni "mchakato usioepukika, wa asili na wa haki kabisa" wa vita kati ya nchi hizo mbili.
Wizara ya ulinzi ya Urusi ilisema ndege tatu zisizo na rubani za Ukraine zilidunguliwa siku ya Jumapili, na mbili zilianguka kwenye afisi.
Uwanja wa ndege wa Vnukovo, kusini magharibi katikati mwa jiji, pia ulifungwa kwa muda mfupi.
Meya wa jiji hilo Sergei Sobyanin alisema maeneo ya mbele ya majengo mawili ya ofisi yaliharibiwa kidogo.
Picha kutoka eneo la tukio zinaonyesha kuwa madirisha kadhaa yameharibiwa kwenye kona ya majengo, na uchafu umetawanyika chini.
Chanzo: BBC Swahili
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Moscow kimewaka leo, Ukraine alikuwa anatumia ujumbe kwamba hata Moscow tuna uwezo wa kufika ila Leo Amir jeshi mkuu ametangaza rasmi kwamba wataishambulia Moscow rasmi kwahiyo tarajieni yasiyotarajiwa.Sasa hivyo vidrone viwili vitatu vitabadilisha nini?
Kaipiga BELGOROD tu kidogo kwa kutumia mamluki wa Kirusi, Leo hii watu wapo kwenye mipango ya kuipiga Kharkov.
Mwambieni aache kutumia bwimbwi
Binaadam hata ukimpatia ukampiga kwa manati unammaliza, so usidharau 'vidrone viwili vitatu'.Sasa hivyo vidrone viwili vitatu vitabadilisha nini?
Kaipiga BELGOROD tu kidogo kwa kutumia mamluki wa Kirusi, Leo hii watu wapo kwenye mipango ya kuipiga Kharkov.
Mwambieni aache kutumia bwimbwi
Pamoja na hayo nimetokea kumkubali sana Zalensky, anakomaa mwanzo mwisho. Vita ikiisha na nchi ikawa salama, huyu jamaa ajengewe sanamu kubwa km shujaa.Sasa hivyo vidrone viwili vitatu vitabadilisha nini?
Kaipiga BELGOROD tu kidogo kwa kutumia mamluki wa Kirusi, Leo hii watu wapo kwenye mipango ya kuipiga Kharkov.
Mwambieni aache kutumia bwimbwi
Ukraine hana cha kupoteza. Unaanzisha vita wakati nyumba yako ya viooMoscow kimewaka leo, Ukraine alikuwa anatumia ujumbe kwamba hata Moscow tuna uwezo wa kufika ila Leo Amir jeshi mkuu ametangaza rasmi kwamba wataishambulia Moscow rasmi kwahiyo tarajieni yasiyotarajiwa.
Kabisa jamaa hawana Cha kupoteza maana kama kupigwa wamepigwa vya kutosha na Kila aina ya silaha ya Mrusi ulikuwa ni ujinga wa kiwango Cha juu sana kujilinda bila kushambulia ndani ya Urusi.Ukraine hana cha kupoteza. Unaanzisha vita wakati nyumba yako ya vyioo
Kumbuka katika zile superpower countries, Urusi yupo.Huyo Zelenesk ni comedian anapiga vigorofa viwilu vitatu afu yeye anapondwa mpa kilio wanakisikia Washington
Zele Ana viwanda.Sasa hivyo vidrone viwili vitatu vitabadilisha nini?
Kaipiga BELGOROD tu kidogo kwa kutumia mamluki wa Kirusi, Leo hii watu wapo kwenye mipango ya kuipiga Kharkov.
Mwambieni aache kutumia bwimbwi
Ule msafara wa 64km sijui ulipotelea wapi.Mtu anapigwa chumbani kwake safi kabisa Zelesky!! hakika ww ni mwanaume wa kweli, kwa Hali ilipofikia ilikuwa hakuna namna maana kama kupigwa Ukraine keshapigwa makombora karibu ya aina yote sidhani kama Kuna silaha ambayo Mrusi haijaitumia Ukraine labda Nuclear tu ni muda muafaka na yy Aanzee kupokea kichapo ndani mwake maana Ukraine haina Cha kupoteza kwasasa.
Jana alikuwa BakhmutPamoja na hayo nimetokea kumkubali sana Zalensky, anakomaa mwanzo mwisho. Vita ikiisha na nchi ikawa salama, huyu jamaa ajengewe sanamu kubwa km shujaa.