HERY HERNHO
Senior Member
- Mar 4, 2022
- 110
- 458
... kwa justification ipi Urusi ipore maeneo ya nchi nyingine?Hana huo uwezo Russia ataendelea kuchukua maeneo lazima ajue kwamba atake asitake lazima amuachie Yale maeneo mrusi yaani kabla ya kuingia kwenye mazungumzo ajue yale maeneo yameshaondoka.
Yale ni maeneo yake aliyowapa Ukraine kama zawadi kaamuwa kurudisha maeneo yake Kwa Sababu Ukraine alitaka kumkaribisha adui.... kwa justification ipi Urusi ipore maeneo ya nchi nyingine?
Hata akiondoa majeshi yake bado Ukraine itaitaka Urusi iwajibike kwa uhalifu wa kivita uliotendeka na uharibifu wa nchi na uchumi wa Ukraine.Urusi ishaonesha haitaki endelea na mpango wake, ila sasa anatokaje tokaje na keshaharibu?
Jamaa mwehu sana, anaapa kushinda vita kwa silaha za kuombaomba. Hao wanaompa mda si mrefu watamkimbia atabaki marekani pekeyakeRais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono Ukraine iko imara.
Rais Zelensky ametumia hotuba yake ya kukumbuka mwaka mmoja wa uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi yake kunadi ujasiri na dhamira ya jeshi la Ukraine kutetea mipaka ya nchi hiyo.
"Siku kama hii mwaka mmoja uliopita kutoka mahala hapa hapa majira ya saa moja asubuhi, niliwahutubia kwa maelezo mafupi. Ilikuwa ya sekunde 67 tu. Ilikuwa na mambo mawili muhimu kabisa kwa wakati huo na sasa.
Kwamba Urusi ilianzisha vita dhidi yetu. Na sisi ni madhubuti. Tuko tayari kwa lolote. Tutamshinda kila mtu, kwa sababu sisi ni Ukraine. Hivyo ndivyo ilivyoanza tarehe 24 Februari 2022. Siku refu kabisa maishani mwetu.
Siku ngumu kabisa kwenye historia yetu. Tuliamka mapema na tangu hapo hatujalala tena." Alisema rais huyo.
Akiwa na uso wa huzuni kutokana na mwaka mmoja wa damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi, Zelensky aliwaambia raia wa nchi yake kwamba ushindi wa nchi yao kwenye vita hivi, ni jambo la lazima, licha ya kulemewa vibaya na makombora ya adui.
Hhhhhhhhh nahisi unaandika haya ukiwa chooni embu toka uko chooni ni sehemu mbaya kwa kuishiMwanzo Putin alimchukulia kama muigizaji sasa mwaka umetimia, Putin anajuta sana huyu jamaa ni madhubuti sana kuwahi kutokea, Zelensky ndio atakuwa Rais wa taifa la Russia muda utafika tu
Pumba nyingi Sanaa,,Hadi hukuu[emoji1787][emoji1787]Mwanzo Putin alimchukulia kama muigizaji sasa mwaka umetimia, Putin anajuta sana huyu jamaa ni madhubuti sana kuwahi kutokea, Zelensky ndio atakuwa Rais wa taifa la Russia muda utafika tu
Iyo inaitwa upende usipendePumba nyingi Sanaa,,Hadi hukuu[emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
daa!!! ndo nyie westans mnamini mwanaume anaweza kugeuka kuwa mwanamke....Mwanzo Putin alimchukulia kama muigizaji sasa mwaka umetimia, Putin anajuta sana huyu jamaa ni madhubuti sana kuwahi kutokea, Zelensky ndio atakuwa Rais wa taifa la Russia muda utafika tu
Kuhusu dikteta je unaamini ninidaa!!! ndo nyie westans mnamini mwanaume anaweza kugeuka kuwa mwanamke....
Russia is too proud, sidhani kama watakubali aibika japo naona Ukraine ikichukua maeneo kadhaa baada ya trainingHata akiondoa majeshi yake bado Ukraine itaitaka Urusi iwajibike kwa uhalifu wa kivita uliotendeka na uharibifu wa nchi na uchumi wa Ukraine.
dikteta yupi! America anayetaka kutawala dunia nzima.. anaejiita kiranja wa dunia..Kuhusu dikteta je unaamini nini
Yawezekana Putin aliaminishwa na watu wake kuwa tuvamie, mapinduzi yatatokea, wanajeshi watamtoa Zele.... Leo nimesoma sehemu wanasema viongozi wengi waliachiwa baada ya Mwezi 1Mwanzo Putin alimchukulia kama muigizaji sasa mwaka umetimia, Putin anajuta sana huyu jamaa ni madhubuti sana kuwahi kutokea, Zelensky ndio atakuwa Rais wa taifa la Russia muda utafika tu
... aisee! Kwani kule UN mpaka wa kimataifa wa Ukraine unaonesha hayo maeneo yapo Russia au Ukraine au unaonesha hilo eneo ni zawadi kama ulivyosema?Yale ni maeneo yake aliyowapa Ukraine kama zawadi kaamuwa kurudisha maeneo yake Kwa Sababu Ukraine alitaka kumkaribisha adui.
Hakuna mpumbavu km wewe ndio mana mnaolewa sk hz.Yale ni maeneo yake aliyowapa Ukraine kama zawadi kaamuwa kurudisha maeneo yake Kwa Sababu Ukraine alitaka kumkaribisha adui.
Yaan vita ilikua Ina epukika kabisa lakini Hawa washenzi wamesababisha damu kumwagika na madhara yatakayo dumu vizazi na vizazi.....Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono Ukraine iko imara.
Rais Zelensky ametumia hotuba yake ya kukumbuka mwaka mmoja wa uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi yake kunadi ujasiri na dhamira ya jeshi la Ukraine kutetea mipaka ya nchi hiyo.
"Siku kama hii mwaka mmoja uliopita kutoka mahala hapa hapa majira ya saa moja asubuhi, niliwahutubia kwa maelezo mafupi. Ilikuwa ya sekunde 67 tu. Ilikuwa na mambo mawili muhimu kabisa kwa wakati huo na sasa.
Kwamba Urusi ilianzisha vita dhidi yetu. Na sisi ni madhubuti. Tuko tayari kwa lolote. Tutamshinda kila mtu, kwa sababu sisi ni Ukraine. Hivyo ndivyo ilivyoanza tarehe 24 Februari 2022. Siku refu kabisa maishani mwetu.
Siku ngumu kabisa kwenye historia yetu. Tuliamka mapema na tangu hapo hatujalala tena." Alisema rais huyo.
Akiwa na uso wa huzuni kutokana na mwaka mmoja wa damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi, Zelensky aliwaambia raia wa nchi yake kwamba ushindi wa nchi yao kwenye vita hivi, ni jambo la lazima, licha ya kulemewa vibaya na makombora ya adui.
Si njaa zenu mnajipeleka wenyewe kwann mpaka leo mmeshindwa kutangaza officially kupinga ushogaadikteta yupi! America anayetaka kutawala dunia nzima.. anaejiita kiranja wa dunia..