Zek group/A1 outdoor hali ikoje huko?

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,223
Natumai mu wazima?

Kuuliza sio ujinga! Hivi Zek Group, hi kampuni yao ya A1 Outdoor hali ikoje wajameni? Mambo yanaeleweka? Manake kuna mtu anataka aresign mahali atinge humu!

Je yaliyomo yamo? Au ubabaishaji mwanzo mwisho? Naombeni data kamili manake kwa nje wanaonekana wako vizuri si utani.
 
a1 outdoor ilikuwa enzi hizo walikuwa wana hela mpaka walimsaidia m.kwere kuingia ikulu(walichangia/kuwekeza kiasi ambacho siwezi kutaja hapa),siku hizi makampuni ya matangazo yamekuwa mengi mengine ya zamani yameanza kujifia kama monnier lina hali mbaya taabani
but miezi kadhaaa hapa jukwaani niliona tangazo lao la graduates trainnee! sijui walishaitwaa ?
 
ndo mambo ya ubinafsishaji hayo mkuu hata kwenye mambo ya makampuni ya matangazo nako ni hivyohivyo
 


yaliyomo yamo bibie. taarifa za uhakika ni kwamba mkurugenzi wa A1 bado ana uhusiano wa akaribu na m.mkware akiwa mlinzi wa ukware Afrika kusini, hususan Jo'burg. Anaishi katika jumba la fahari na gari bullet proof kuhakikisha ukware unaendelea kulindwa. hii manake nini. hii manake ni kwamba kama shida ya mtu wako ni hela na si uzalendo, basi A1 bado kuna hela. kazi kwako..........
 
zek group miaka ya kati 2007 walikuwa na project ya 30 million us dollar kujenga shopping mall pale rose garden sijui waliishia wapi huyu jamaa zadock enock koola the ceo and founder waliungana na nakummat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…