arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 585 Nov 20, 2011 #1 Mambo wana JF? Jamani nanai ana habari kuhusu mmoja wa hili kundi nilisikia alikua mgonjwa sana kuna mwenye habari ya hali yake inaendeleaje mnijuze?
Mambo wana JF? Jamani nanai ana habari kuhusu mmoja wa hili kundi nilisikia alikua mgonjwa sana kuna mwenye habari ya hali yake inaendeleaje mnijuze?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,127 Reaction score 165,991 Nov 20, 2011 #2 Tuendelee tu kumuombea, hana fahamu sasa ni mwezi wa pili.
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 585 Nov 20, 2011 Thread starter #3 Maskini Mungu atamsaidia hao ndio wakupelekwa India jamani.
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Nov 21, 2011 #4 Kuna siku nilimuona JK alimtembelea hospitali.Tumuombee apone upesi.