A AmaniKatoshi Senior Member Joined Mar 31, 2009 Posts 158 Reaction score 14 Sep 25, 2010 #1 Wajameni, salamu na amani kwenu. Napenda kuuuliza taarifa za ze komedi mpya ya EATV kama ilirushwa njuzi alhamisi walivyoahidi na je, ilikuwaje? Asanteni, na weekend njema.
Wajameni, salamu na amani kwenu. Napenda kuuuliza taarifa za ze komedi mpya ya EATV kama ilirushwa njuzi alhamisi walivyoahidi na je, ilikuwaje? Asanteni, na weekend njema.
T Teko JF-Expert Member Joined Jul 3, 2010 Posts 230 Reaction score 61 Sep 25, 2010 #2 AmaniKatoshi said: Wajameni, salamu na amani kwenu. Napenda kuuuliza taarifa za ze komedi mpya ya EATV kama ilirushwa njuzi alhamisi walivyoahidi na je, ilikuwaje? Asanteni, na weekend njema. Click to expand... Hawakuwa na chochote cha kuchesha! komedi inayochekesha kwa sasa ni futuhi tu!
AmaniKatoshi said: Wajameni, salamu na amani kwenu. Napenda kuuuliza taarifa za ze komedi mpya ya EATV kama ilirushwa njuzi alhamisi walivyoahidi na je, ilikuwaje? Asanteni, na weekend njema. Click to expand... Hawakuwa na chochote cha kuchesha! komedi inayochekesha kwa sasa ni futuhi tu!
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Sep 26, 2010 #3 Ila Orijino komedi ya T-CCM-BC walinifurahisha kwa kile kipengele cha kuwaiga Ma-presenta wa Aiiitiviiii... Lile neno "Kumradhi"
Ila Orijino komedi ya T-CCM-BC walinifurahisha kwa kile kipengele cha kuwaiga Ma-presenta wa Aiiitiviiii... Lile neno "Kumradhi"
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,262 Sep 26, 2010 #4 Binafsi nilicheka sana hasa yule bwana alipokuwa akiigiza sauti ya kichaga. Hata ze comedy nao sasa wanaenda vizuri
Binafsi nilicheka sana hasa yule bwana alipokuwa akiigiza sauti ya kichaga. Hata ze comedy nao sasa wanaenda vizuri
M Mswahela Member Joined Feb 16, 2009 Posts 87 Reaction score 1 Sep 27, 2010 #5 Hawana kitu. Amebakia Bambo na vichekesho vyake vya kijingajinga
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,534 Reaction score 167,237 Sep 27, 2010 #6 alinichekesha kikwete kwa kuahidi bajaj 400 za kubeba wajawazito wilayani chunya mkoani mbeya
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Sep 27, 2010 #7 Vichekesho vya siku hizi bwana ni kichekesho tu, matusi na mambo ya aibu tu! Bora umwangalie Churchill wa jirani zzetu!
Vichekesho vya siku hizi bwana ni kichekesho tu, matusi na mambo ya aibu tu! Bora umwangalie Churchill wa jirani zzetu!
bullet JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 1,047 Reaction score 545 Sep 27, 2010 #9 Comedians wa EATV wanatakiwa kufanya kazi ya ziada, Juzi hawakuwa na mvuto kabisa!