Issue zingine ninahitaji busara kidogo tu..Ze-Comedy wanafanya Fasihi lakini haitakiwi kumuudhi mlengwa hasa kama inaonekana inalenga kudhalilisha,kutweza au kukashifu. Sijaiona hii ze-comedy inayozungumziwa, lakini kwa ujumla wake tusiruhusu kila jambo lifanyiwe mzaha..itakuja kutugharimu huko mbeleni...Kwangu mie hata wanapowaigiza waumini/wanakwaya wa Kikristo huwa nazimaga TV..Wajameni lazima tukubali kwamba yako mambo ya kufanyia 'Jokes'..na Mengine sio!!
Kama mnakumbuka kuna kipindi walikuwa wanawaigiza MaPresidents wa nchi za Nje..Lakini walikatazwa..Siungi mkono udini lakini pia sikubaliani na mtu asiyetambua thamani ya dini ya mtu kiasi cha kuifanyia 'Mockery'