Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!
mkuu hao wasanii tu,nakumbuka hapo wapo kazini na hayo ni mawazo yao ambayo wameona wakiyatoa hewani watu watafurahi,hivyo tuendelee kufurahi una aja ya kuamsha chuki na naimani hilo sio lengo lako kiongozi. Heshimayan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa jk!!!
Mbona nilishawaona pia wakiwaigiza Wachungaji wa makanisa mbalimbali!!? We hujaona hili? Japo mi ni muislam kwa hili naomba nitofautiane nawe na wengine wote wenye mtazamo kama wako.
Wabillahi taufiq!
nazan wewe ndo mwenye matatizo-mbona ni kitu kidogo sana hicho-ukisema ufatilie kila kitu hapa duniani-hutaweza kuishi-mbona wanaigiza kama wachungaji n.k lakini hakuna malalamiko-si kila kitu unaleta hapaYan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo! Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!! Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!
<br />nazan wewe ndo mwenye matatizo-mbona ni kitu kidogo sana hicho-ukisema ufatilie kila kitu hapa duniani-hutaweza kuishi-mbona wanaigiza kama wachungaji n.k lakini hakuna malalamiko-si kila kitu unaleta hapa
Yan wameonyesha jinsi muislamu anavyoshawishika kupiga misosi kipindi hiki cha mfungo!
Ustadhi maarufu alikuwa ni joti na wakristo ni mpoki na vengu!!
Ahaaaa jamani hii nayo ni udini kabisaa kuliko wa JK!!!
Mmeanza, kila kitu mnalalamika. Maulidi isiyo na wali/pilau Mtume huwa haudhulii. Kwa hiyo kuna namna ya ulaji ili uweze kupata dhawabu. Kuna taratibu zake, sio kula tu kama wakristo ingawa nao lazima wapige ishara ya msalaba/wasali though there are no stringent rules kama nyinyi wenzetu. Hivyo mtu akiongelea namna ya kula kwa waislamu nadhani uko sahihi. Hawa ni wasanii, wameelezea kisanii. Msichukie mambo madogo